Toyota GR Yaris ni Sampuli za vitz, Ila Toyota anazalisha hizi gari akilenga European market. Production yake imeanza last year
Kinakuja na Engine za aina mbili, 1.5L inline 3 na 1.6L inline 4 zote zikiwa na Turbo.
Pia kinakuja na gearbox za aina mbili, K120 CVT gearbox with first actual gear...