Hii vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea ndani ya CHADEMA mimi naifurahia saaana.
Naombea isiishe. Nataka iendelee ili tuyajue mauchafu yao….kutekana, kuumizana, kudanganya, kuzusha, na mauchafu chafu mengine ambayo wamekuwa wakiyaficha huku wakijifanya ni watu wema sana walio na maadili...