Takwimu zinaonesha kuwa mbunge analipwa mshahara wa shilingi milioni 3.8 kwa mwezi, posho ya mwezi shilingi milioni 8, posho ya kikao kimoja ni shilingi 240,000 kwa siku, posho ya kujikimu shilingi 120,000 kwa siku.
Baada ya miaka mitano ya ubunge wake anapokea pensheni ya shilingi milioni 240...