VITA ya hatima ndicho kinaendelea Chadema. Siyo vita na hatima kama simulizi ya familia ya Ku, Asia Mashariki, kwenye tamthiliya ya War and Destiny, bali Chadema, hali ilivyofikia, kinachopambaniwa ni hatima.
Uamuzi wa Makamu Mwenyekiti Chadema, Tanzania Bara, Tundu Lissu, kugombea uenyekiti...