Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Baada ya kutoridhika na majibu ya wasimamizi wa kituo Cha kupigia kura...
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Peter Serukamba ameshiriki zoezi la kupiga kura Kuchagua viongozi wa serikali za Mitaa Leo Nov 27 2024.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara...
Wakuu,
Ndio upigaji unaandaliwa?
Baadhi ya mitaa katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara, wamelalamikia kutokuonekana na kusomeka vyema kwa majina yao katika orodha ya wapiga kura huku wakisema hali hiyo inachangia kuchelewesha zoezi la upigaji kura na watu kuendelea na majukumu yao.
Kupata...
Wakuu,
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesisitiza umuhimu wa kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akibainisha kuwa uchaguzi huu ni fursa kwa wananchi kupata viongozi wa karibu wanaoshughulikia changamoto za moja kwa moja katika maeneo yao...
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala Leo Novemba 27,2024 ameshiriki zoezi la kupiga kura kwenye kituo cha Rest House kilichopo mtaa wa Shangani East Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara.
Kanali Sawala amewahimiza wananchi wa Mtwara kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi hilo...
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akipiga kura ya kuwachagua viongozi wa Serikali ya Mtaa, katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Masaki.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote...
Wakuu,
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda ameshiriki zoezi la upigaji kura leo Novemba 27 ,2024 mkoani Arusha ikiwa ni katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo amewataka wananchi kupiga kura na kuondoka eneo la vituo vya uchaguzi kwakuwa kazi ya kulinda kura tayari ipo kwa mawakala wa...
Wakuu,
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mkoa wa Ruvuma Mhe. Jenista...
Wakuu,
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson leo tarehe 27 Novemba, 2024 ameshiriki zoezi la kupiga kura kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa.
Kupata taarifa na matukio ya...
Wakuu,
Wakati zoezi la kupiga kura linaendelea vitendo vya uchakachuaji na malalamiko ya kuonewa wakati wa uchaguzi huwa havikosekani.
Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Uzi huu utakuwa maalum...
Wakuu,
"Uchaguzi huu tuufanye kwa amani na utulivu, aliyeshinda atangazwe na ambaye hajashinda asitangazwe. Niwaombe watu wote waliojiandikisha wasiache kuja kutumia haki yao ya kikatiba kuchagua kiongozi wanaemtaka ili tuweze kusukuma mbele maendeleo yetu.
Kupata taarifa na matukio ya...
Wakuu,
Wananchi wa Mtaa Sinza B, Wilaya ya Ubungo Dar Es Salaam wamelalamikia kutokubandikwa kwa majina yao nje ya kituo cha kupiga kura cha Shule ya Sekondari Mashujaa jambo linalopekea wao kusumbuka mpaka kupata majina.
Jambo TV imezungumza na baadhi ya wananchi waliofika kituoni hapo...
Wakuu,
Bwana Bumunda na wanchi mbalimbali wajitokeza kupiga kura uchaguzi wa serikali ya mtaa kama mnavyoona kwenye picha.
Hivi ndio walisema saa nne matokeo yanakuwa tayari eeeh? :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
Wakuu,
Ingia hapa kupata matukio yote ya uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: https://www.jamiiforums.com/threads/special-thread-mijadala-ya-mikoa-yote-tanzania-bara-inayoshiriki-katika-uchaguzi-wa-serikali-za-mitaa-2024.2265632/
Anayedaiwa kuwa mgombea katika kitongoji cha Mgera B...
Wakuu,
Tunasubiri igizo la kupanga foleni wakati kwenye misafara tunakaa masaa matatu kumpisha :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
Kutoka Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma Leo Novemba 27, 2024 katika kituo cha kupiga kura za uchaguzi za Serikali za Mitaa baadhi ya wakazi wa eneo Hilo...
Kupata taarifa zote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kila mkoa ingia hapa: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Katika hali isiyokuwa ya kawaida inadaiwa kuwa masanduku matatu (3) ya kura...
MAKAMU wa pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla amewataka Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutowachukia wagombea wa vyama vingine waliojitokeza kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani wameshiriki kukamilisha Demokrasia.
Makamu huyo wa Rais ameyasema hayo alipokuwa akifunga...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amesema kampeni za chama hicho zilizofanyika kwa siku sita katika majimbo nane ya mkoa wa Dar es Salaam zimeonesha dalili za ushindi mkubwa kwa CCM.
Akizungumza kwenye mkutano wa kufunga...
Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zimehitimishwa rasmi hapo jana, Jumanne Novemba 26.2024 huku leo, Jumatano Novemba 27.2024 zoezi linalosubiriwa na wengi ni la upigaji wa kura, ambapo kufuatia sera za mbalimbali vya siasa wananchi wanayo nafasi sasa ya kuchagua viongozi wanaowataka
Hata...
WAkuu,
Kupitia ukurasa wa X wa ACT Wazalendo wameweka taarifa hii, mambo yameanza kunoga mapemaaa!
Kupata matukio yanyojiri kimkoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...