Nishawai posti hapa kutafuta ushauri wa kuondoa uchawi
Hivi juzi baada ya mimi kudhani mambo yangu yanaenda shwari, nimefungua duka la branding, nikalipa miezi sita na kuleta machines kadhaa, sasa baada ya kutumia sarafu zangu zote nikaanza kazi ningojee matokeo, nirefeshe mtaji, washenzi...