Shule za Upili za Ufundi Tanzania (Technical Secondary Schools in Tanzania) ni shule maalumu zilizoanzishwa kwa dhumuni la kuandaa wataalamu. Zilijidhatiti zaidi kuandaa vijana wenye umri mdogo, mafundi makenika, umeme, useremala, ujenzi, usanifu, ushonaji na ususi. Lengo kuu lilikuwa ni kuandaa...