Kifafa ni Ugonjwa unaoathiri mfumo wa fahamu na kusababisha mtu kupata degedege, kukakamaa, kuanguka au fahamu.
Kifafa kinaweza kuwa cha kurithi, kupata jeraha kubwa kichwani, magonjwa mengine (mfano homa ya uti wa mgongo), uvimbe kwenye ubongo, matatizo wakati wa kuzaliwa, na kiharusi