Natamani kujua hili na huenda ikawa faida kwa wengi, alasiri ya leo 9.12.2022, nimekutana na mabehewa mapya yaliyoshushwa hivi karibuni yakiwa kwenye reli ya zamani Morogoro, je hayo mabehewa yanawezaje kupita kwenye reli hiyo huku ikitajwa kwamba upana wa reli hizo haufanani.