Nimejiuliza sana tena sana, kwanini tunadanganyagwa na wanasiasa tusiowapenda kwa kupewa vijizawadi visivyo na tija maishani?
Wanasiasa hao huja na vijizawadi vya kipuuzi kama vile chumvi ya mawe, kofia, tisheti na sabuni za vipande na kuwapa wapiga kura ili wawachague na wakishapewa kura...