Hahahahaaaa, wakuu last weekend wife alikuwa amealikwa kwenye harusi ya mdogo wa workmate wa ofisi yao ya zamani, lakini akawa anasitasita kwenda, sasa nikamuuliza kwanini, yeye akasema hana Zawadi yoyote ya kuwapa maharusi licha ya kuchangia kadi.
Ndio nikakumbuka wana ndoa wengi wa zamani...
Akihitimisha salamu zake za pongezi kwa ushindi wa Tundu Lissu, Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kupiga mzigo ili kutafuta mafekeche (fedha) na wataonana baadae.
Pia, Soma: Mbowe: Nikishindwa uchaguzi narudi kwenye biashara zangu
"Ngojeni nikapige mzigo...
Kwa nini begi hili halikufunguliwa wakati wa ukaguzi kabla ya kuingia ukumbini kwenye uchaguzi wa CHADEMA, ilhali taratibu hizo zilifanyika kwa wengine? Swali hili linaibua maswali juu ya usawa wa utekelezaji wa taratibu za kiusalama, hasa katika mazingira ambayo uwazi na haki ni muhimu.
Merry Christmas everyone out there.
Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana.
Hapa chini ni conversation...
Habari wadau?
Kuna jambo linanikwaza sana. Unakuta mtu ana harusi. Anaomba mchango kama deni vile! Unamchangia mtu laki ukiingia ukumbini mtu unapewa kifungashio cha juice na soda hata elfu kumi haifiki.
Inakuwa tena kama tunampa mtaji bwana harusi. Jipange bwana harusi ndo uombe hela.
Historia ya upashanaji habari ni ndefu sana. Sitaki nianzie mbali sana. Kutokana na kasi ya maendeleo ya kielimu na ukuaji wa teknolojia tumeshuhudia kupungua kasi ya usomaji magazeti mpaka magazeti makubwa duniani ikabidi yapotee au kujibadili kuwa ya kielektonik.
Miaka si mingi sana na redio...
Kuna video clips zinatembea zikionesha gari ya serikali iliyo na plate namba ya waziri wa habari na mawasilno ikidondoka muda mfupi tu baada ya taarifa za kutumbuliwa kwa Nape kuwekwa mitandaoni. Wakati huo Nape ndiyo alikuwa meza kuu akigawa tuzo kama mgeni rasmi, na hata hotuba alikuwa bado...
Sherehe ya harusi kati ya Swadiku Abas (50) na mke wake, Elieth Rwegashora (40) ambao ni wakazi wa Mtaa wa Zenze eneo lililopo Kiseke wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, iligeuka msiba baada ya bwana harusi kujinyonga muda mfupi kabla ya sherehe kuanza.
Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi...
Tunaamini Chakula Ndio Kitu Pekee Kinachoweza Kuifanya Shughuli Yako Iwe Bora Zaidi hasa pale Kinapoandaliwa vizuri Katika hali Ya Usafi Na Chakula Kuwa Na Ladha Nzuri Sana.
TUPIGIE SASA 0657 33 2814
Ukiwa Na Shughuli yako Yoyote Ile Harusi, Msiba, Kitchen Party, Send-off, Graduation, Private...
Last week Kuna harusi moja, niliitafuta clip yake nikaipata.
Bwana harusi amewatambulisha ex wake ukumbini, lakini aliwaomba wasisimame, hi inaonesha aliwaharika kwenye sherehe.
Bwana harusi huyo alimuuliza mke wake(Bibi harusi) Kama atakuwa amemkwanza lakini alisema hapana,
Kitu hiki...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, mimi Mzee wa "the voices from within" na Maswali Fikirishi.
Angalizo la Mambo ya Sauti.
Kuna mambo ni yetu, na mambo mengine sii yetu, mambo ambayo ni yetu, unaweza kuuliza, lakini kwa mambo ambayo sii yetu, huwezi kuuliza, miongoni mwa mambo ambayo sii yetu ni...
Zaidi ya wajumbe 140 wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, leo Machi Mosi, 2022 walitoka nje ya ukumbi baada ya kukataa kusikiliza hotuba ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergei Lavrov.
Waziri huyo alikuwa akishiriki mkutano huo kwa njia ya video kutokana na mipaka ya ndege...
Mazungumzo kati ya wawakilishi wa Ukraine na Urusi kuhusu uvamizi Ukraine yameanza nchini Belarus, kabla ya mkutano kuanza, waandishi wa habari wametolewa nje.
Mwenyeji wa wageni hao ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus, Vladimir Makei amewakaribisha wajumbe hao na kuwataka wajihisi wapo...
Hii inasomeka hivyo kwenye twitter account ya Joseph Mbilinyi a.k.a Mr Sugu
Je hii ni kweli au kulikuwa na confusion ya tarehe na muda aliotakiwa kufika mbele ya kamati...?
Inasemekana pia kamati ya Haki, Kinga na maadili ya bunge haikumpelekea wito rasmi wa barua mbunge huyu zaidi ya kusikia...
Habari za asubuhi,
Napenda kumpongeza Askofu Gwajima kwa kupiga chenga ya kisigino pale alipokwepa kutumia kiti alicho wekewa. Napenda kumshauri yafuatayo atakapokwenda kesho.
1. Asikae kwenye viti vya pale mapokezi ikiwezekana asimame nje mpaka aje kuitwa.
2. Viti atakavyovikuta pembeni...