Hii ni tofauti na mtangulizi wake alivyofanya, licha ya kutolewa fomu moja tu kwaajili ta mgombea wa Urais.
View attachment 3414440
Anaanza awamu yake, nani kamchagua? mbona unafikiria kwa kutumia sehemu za siri.Mama Samia alikuwa anamalizia kwa mujibu wa katiba sasa ndio anaanza awamu yake hivyo tumuombee kwa.Mungu amalize miaka yake 10 hadi 2035
kura yangu nimempaMama Samia alikuwa anamalizia kwa mujibu wa katiba sasa ndio anaanza awamu yake hivyo tumuombee kwa.Mungu amalize miaka yake 10 hadi 2035
Hapo kwa magu wagombea walikua wangapiView attachment 3414438
Hii ni tofauti na mtangulizi wake alivyofanya, licha ya kutolewa fomu moja tu kwaajili ta mgombea wa Urais.
View attachment 3414440
View attachment 3414453
watajua wenyewe....View attachment 3414438
Hii ni tofauti na mtangulizi wake alivyofanya, licha ya kutolewa fomu moja tu kwaajili ta mgombea wa Urais.
View attachment 3414440
View attachment 3414453
Unakera sanaMama Samia alikuwa anamalizia kwa mujibu wa katiba sasa ndio anaanza awamu yake hivyo tumuombee kwa.Mungu amalize miaka yake 10 hadi 2035
Utaratibu baada miaka mitano uwa wanamuacha amalize miaka 10.Hapo kwa magu wagombea walikua wangapi
HIi aliyorithi nfo mitano yake - mpeni kumi hii si ndo kawsida yenu,Utaratibu baada miaka mitano uwa wanamuacha amalize miaka 10.
Jpm miaka yake mitano ya mwanzo alishindanishwa na Lowasa, Membe na wengine.
Samia miaka minne alirithi kutoka kwa JPM, sasa kama alitaka kugombea ya kwake alitakiwa kufuata utaratibu kama JPM alivyoshindanishwa na hakina Lowassa, Membe.
Yes ndio afuate utaratibu maana yeye mwenyewe anajichanganya utawala wa kurithi kuita awamu ya sita, wakati ni awamu ya tano, akichagulia ndio itakuwa awamu ya sita.HIi aliyorithi nfo mitano yake - mpeni kumi hii si ndo kawsida yenu,
Yupo Uyole 🐼
Oktoba tuna tiki ✔️✔️View attachment 3414438
Hii ni tofauti na mtangulizi wake alivyofanya, licha ya kutolewa fomu moja tu kwaajili ta mgombea wa Urais.
View attachment 3414440
View attachment 3414453
Mnadanganywa sanaAione tapeli ChoiceVariable Kwa kutuletea video ya AI
utakua mwendawizMama Samia alikuwa anamalizia kwa mujibu wa katiba sasa ndio anaanza awamu yake hivyo tumuombee kwa.Mungu amalize miaka yake 10 hadi 2035