Wala hakuna utata wowote; Dr. Samia anaongoza awamu ya 6; yuko sahihi kabisa. Why?
Iko hivi, katiba inasema endapo makamu wa rais atachukua uongozi wa nchi kwa masharti yaliyowekwa na katiba kwa muda unaopungua miaka mitatu itahesabiwa anamalizia kipindi cha mtangulizi wake na ataruhusiwa kugombea mihula miwili.
Lau endapo ataongoza kwa zaidi ya muda huo, itahesabiwa ni awamu kamili na ataruhusiwa kugombea kwa mhula mmoja.
Dr. Samia karithi miaka minne; Utata uko wapi hapo?
misasa,
Maharo, et. al.