Nguvu inayomsukuma mwanamke, kuingia kwenye mahusiano, kwa asilimia kubwa huwa ni umasikini.
Wengi wanaingia kwenye mahusiano, ili kupata uhakika wa kula, kuvaa, kumiliki majengo, magari, kumiliki miradi, kupanda vyeo n.k
Hawaingii kwenye mahusiano, kwa sababu ya mapenzi ya kutoka moyoni; ndio...