umuhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Umuhimu wa mawakili wa shetani kwenye makongamano ya siku ya Nyerere.

    Zamani kanisa katoliki kama linataka kumfanya mtu kuwa mtakatifu lilikuwa linaajiri mtu fulani wa kuitwa Advocate Dei(wakili wa shetani). Kazi yake ilikuwa ni kuchambua mabaya ya mtu huyo na kujenga hoja kuwa hafai kuwa mtakatifu. Kwahiyo, huyu mtu anayepewa utakatifu alikuwa ni bora sana...
  2. Umuhimu wa mikopo isiyo na masharti magumu kwa vijana

    Habari ndugu wadau nimeona ni shiriki katika mjadala huu nikiwa moja ya vijana tulio wengi mtaani ambao kimsingi tunapambana na changamoto ya ajira na ukosefu wa ajira za kutosha. Mimi kama muhitimu wa chuo kikuu ambae badi nipo mtaani nilitamani kuina taasisi mbalimbali za kifedha zikitoa...
  3. Umuhimu wa kiingereza katika kuficha siri

    Wakuu habarini za saa hizy?? Ndugu zangu naandika uzi huu nikiwa nimejawa na furaha ya kuepusha kuvunjika kwa mahusiano yangu. Jana usiku nikiwa na mpenzi wangu getoni kwangu, kwenye muda wa saa sita usiku hivi, mara paap! Simu inaita..kuangalia, nakuta ni namba ya msichana mmoja hivi...
  4. Je, ni kwanini barabara ya maji chumvi (Jeshini - Tabata Kimanga) haipigwi lami pamoja ya kuwa na umuhimu kupindukia?

    Tumeshuhudia vichochoro vingi huko Sinza na Kinondoni vikipigwa lami mwanzo mwisho, tena havina umuhimu wowote, maana vingi ni dead ends zinazoishia kwenye mageti ya watu. Sasa najiuliza, iweje barabara muhimu kama ile ya maji chumvi kuelekea Kimanga inayotumiwa na malaki ya raia wa T/Kimanga...
  5. Mwenyekiti wa simba - Bilioni 20 zimewekwa kwenye akaunti, siwezi kuitaja benki !!

    Ni kauli ya Murtaza Mangungu ambae ni Mwenye kiti wa Simba, Ikumbukwa kwamba jana Mo alijiuzulu, hili likitua wengi ila na leo kuna kauli mpya ya Mwenyekiti wa Simba "Bilioni 20 zimewekwa kwenye akaunti, siwezi kuitaja benki kwa sababu ni jambo ambalo tumekubaliana lisitajwe. Fedha zimetoka...
  6. A

    Umuhimu wa kuwa na 'government brand' kwenye bidhaa za kilimo

    Habarini JF! Sijui kama hili wazo lishawahi kufanyika kwingine duniani. Ningependa Tanzania sababu tuna eneo kubwa sana lenye rutuba (arable land), Kufanyike mapinduzi/movement ya kilimo, Wananchi tulime, Serikali itafute masoko. I just think serikali ikiwa na brand yake ikajinadi huko nje...
  7. Umuhimu wa michezo kwa Watoto

    Michezo ina umuhimu mkubwa sana katika ukuaji na ustawi bora wa mtoto. Wataalamu wa malezi wanatuambia kuwa mtoto asiyecheza huwa ni mwenye kuzubaa muda wote na mara nyingi huwa mgumu sana katika kuelewa mambo. Pale watoto wanapocheza michezo ya viungo huwawezesha kuimarika misuli na kuwafanya...
  8. U

    Katika ndoa kuna wajibu, haki, majukumu na utaratibu wake katika maisha

    UMUHIMU WA KUJIANDAA NA MAISHA YA NDOA Katika kumuumba kwake mwanadamu, Mungu aliweka utaratibu wa kuwepo mahusiano kati ya mwanamume na mwanamke , ili kuendeleza uzao kwa wanadamu, kuwaondolea upweke na kuwatunukia utulivu, faraja, huruma, mapenzi, upendo na ushirikiano. Kutokana na...
  9. F

    Umuhimu wa Kuanzishwa Majimbo ya Uchaguzi ya Vyuo Vikuu

    Bara la Afrika hivi sasa linahitaji kuona wasomi wake waliojengwa kwa gharama kubwa wakilitumikia kwa uhuru mkubwa sana wakiongozwa na dhamira za weledi wao na nguvu zao za kitaaluma na kitaalam pasina kuingiliwa kisiasa katika yale ambayo wanayaibua kwa ushahidi wa kisayansi na ambayo...
  10. K

    Hivi hakuna umuhimu wa kuweka bango kwenye kiwanda kuonesha kinashughulika na nini?

    Members poleni na mihangaiko. Ndio tumetoka Kyela tunaitafuta Uyole. Njiani tulikuta kiwanda kizuri sana! Tukasimama kidogo. Tukaangalia-angalia ili kujua ni kiwamda cha nini, daa! hatukuona bango lolote. Mara mlinzi akaja na kutuuliza shida yetu. Tukamweleza. Jibu: "Ahaa hiki ni kiwanda cha...
  11. K

    SoC01 Umuhimu na uhitaji wa Katiba Mpya iliyo Bora

    Utangulizi. Katiba ni sheria na kanuni zinazotungwa ili kuongoza nchi, shirika au taasisi fulani. Katiba ya nchi inatambulika kuwa sheria kuu na sheria mama na ndio msingi wa nchi. Katiba ni msingi wa mihimili mikuu mitatu ambayo ni dola, bunge na mahakama. Katiba inafafanua na kutoa mgawanyo wa...
  12. H

    SoC01 Umuhimu wa kuwa na mfumo wa ufuatiliaji na tathmini matokeo katika kujenga Uwajibikaji na Utawala Bora (Result-based monitoring and evaluation system)

    Mataifa mengi duniani yamekumbwa na msukumo wa nje na hata wa ndani wa kuleta mabadiriko katika uongozi wa uma. Na madai ya kuataka mabadiriko yanatoka katika vyanzo mbalimbali ikihusisha Wananchi , Asasi za kiraia , vyombo vya habari na vyama vya upinzani.M ara nyingi madai yao yamejikita...
  13. J

    Umuhimu wa mboga mboga & Matunda

    Kutokana na tafiti ambazo zimefanywa na watu mbalimbali wanasayansi mbalimbali duniani (ndani ya Africa na nje ya Africa) wamekuja kugundua kuna umuhimu mkubwa sana wa mboga mboga hasa mboga mboga asilia kama mchicha ,ngogwe ,mgagani. Kwanini zina umuhimu kwasababu zimebeba virutubisho muhimu...
  14. C

    SoC01 Umuhimu wa Wanafunzi wa Vyuo vya Kati kupata mkopo

    Habarini wana jamii. Katika kada ya Elimu hususani vyuoni Kuna umuhimu mkubwa wa wanafunzi wa vyuo vya Kati kuwekwa katika bajeti ya kupata mkopo. Jumla ya wanafunzi katika vyuo vya kati au vyuo vya ufundi hujitegemea kwa kiwango kikubwa katika kujihudumia kuanzia malazi, makazi hata malipo ya...
  15. SoC01 Umuhimu wa kumuelimisha Mwanamke hasa katika Jamii ya Afrika

    Ukweli ni kwamba kwa umuhimu wa elimu hakuna shaka kusema ndio kiungo kikubwa kwenye maisha ya binadamu kwasababu hiyo ili jamii iwe ni jamii kamili na yenye usawa na lazima kuwaelimisha wanawake ambao wao ni kiunganishi kikubwa kwa zaidi ya asilimia sabini kwanini nasema hivyo Kwa takwimu ya...
  16. Umuhimu wa ushauri kwa vijana

    Kwa kila kijana kuna haja ya kuwa na mtu wa karibu maishani anayeweza kukusaidia katika kukupa mwongozo wa maisha. Mtu huyu hufahamika katika kiingereza kama Mentor au coach?
  17. K

    Treni za kizamani zina umuhimu sana bado kwenye uchumi

    Nilienda likizo TZ kutoka hapa Dallas, Texas ninapoishi na kufanya kazi. Watu wengi walikuwa wananiambia tuna reli kama huko kwenu inakuja. Kitu ambacho hawajui Reli nyingi hapa sio za abiria ni za kiuchumi na zinabeba mizigo na mafuta kutoka sehemu mbalimbali kuja Texas kwa usafishaji wa...
  18. J

    Jambo la Muhimu ukiamua kufuata kilimo

    Kilimo kinafaida kama sheria zake zikizingatiwa kuna mambo usipo yazingatia kwenye kilimo basi nakuhakikishia utaambulia maumivu au hasara kitu kama ufuatiliaji kama hauna ufuatiliaji mzuri wewe binafsi au mtu anaye simamia basi hasara ni uhakika —Kilimo kinafaida kikizingatiwa
  19. Umuhimu wa kuoa/kuolewa mapema

    Habarini wana jf, leo nitazungumzia mada tajwa hapo juu. Kumekuwa na kasumba ya watu kusubiri afike umri flan ndio aingie katika ndoa. Hii inasababishwa na iman miongon mwa watu kuwa kuoa katika umri mdogo kuna changamoto lakini ukweli ni kama hivi; 1. Kuoa mapema kunakuepusha na hatari ya...
  20. N

    Siku watanzania wakijua umuhimu wa Katiba Mpya nini kitatokea?

    Wakuuu najaribu kuwaza kwa mapana, Tanzania tunatumia KATIBA ya mwaka 1977 na huu ni mwaka 2021. Malalamiko ni mengi mno kutokana na KATIBA ya OVYO. Je, Watanzania siku wakifahamu hili suala ni muhimu nini kitatokea na ni lini watafahamu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…