uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mapendekezo ya Namna ya Kuleta Maendeleo Katika Eneo Lako la Uongozi; Nimetumia Diwani na Kata Kama mfano.

    Habari humu ndani, heri ya Mwaka mpya! Tuanze mwaka kwa kuwakumbusha wenzetu viongozi hasa hao wa kuchaguliwa na wananchi waambue dhamana waliyopewa ni kubwa na waitumie vizuri kuwaletea wananchi maendeleo. Utangulizi: Kama Mheshimiwa Diwani, kuna fursa kubwa ya kutumia nafasi hii kwa...
  2. Waziri January Makamba anajua kulea na kufundisha uongozi, namuona Balozi Humphrey Polepole ameiva kiuongozi tofauti na zamani

    Tangu Jamuary Makamba awe Waziri wa Mambo ya Nje, hakika ameonyesha umahiri wake wa kuwapika viongozi. Humphrey Polepole ninayemuona, sio yule wa kipindi cha miaka kadhaa nyuma. Miaka kadhaa nyuma, Polepole alikuwa anakata mauno kama Nyosh El Saadat wa FM Academia, sasa Boggoss Band. Sasa...
  3. K

    Biashara ya madawa ya kulevya chini ya uongozi wa Samia

    Kuna wimbi la ongezeko la biashara na matumizi ya madawa ya kulevya toka Samia angie madarakani. Wanasiasa na wafanyabiashara wanajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya waziwazi. Vijana wanauza na kutumia madawa ya kulevya waziwazi. Miaka miwili ya Samia haina tofauti na miaka 10 ya utawala...
  4. Je, uongozi wa Roman Catholic ni 'ndumilakuwili' au huyu Papa tumepandikiziwa? Tutegemee nini?

    Uongozi wa Roman Catholic kwa miaka 15 iliopita umekua na changamoto sana hasa hasa kuhusu mambo ya ubakaji, rushwa na ushoga. Miaka ilopita tulishuhudia Papa Benedict anajiondoa kwenye kile kiti, kitendo ambacho kilizua maswali mengi sana. Japo baadhi ya watu wanadai Papa Bemedict alikua...
  5. Uongozi wa Yanga Malizaneni na Mzee wa Utopolo

    Jamaa anahisi anatengwa, kwa mtazamo wangu huyu jamaa ni mzuri kwenue hamasa kuliko watu kama Mwalimu Yanga, Mzee wa Mashairi, God Yanga nk. Ila anatengwa sana kwenye offers mbalimbali ambazo club inatoa kwa mashabiki vinara, ntafurasi endapo siku moja ataingia kwenye orodha pendwa ya viongozi...
  6. Yanga: Mashabiki komeni kuukurubia zaidi uongozi na wachezaji wenu.

    Shabiki wa timu ni mhimili laini wa timu ambao kazi Yake kwenye timu ni kusimamia furaha yao isipotezwe na wachezaji, viongozi, wafadhili na wadhamini wa timu yao. Yaani malipo ya shabiki wa timu ni furaha TU ya ushindi wa timu. Mashabiki ndio mjeredi (whip) imara wa timu kuwafanya wachezaji...
  7. Ni ipi hasa ilikuwa sababu ya kumsimamisha Edward Lowassa kama mgombea wa Urais CHADEMA 2015? Lipi lilikuwa kosa la Dkt. Slaa?

    Je, ni kuongeza kura ,wabunge ili kupata Ruzuku kubwa? Au kulikuwa hakuna mgombea anaefaa Chamani . Kama ni ruzuku, je kama hili lilikuwa linatosha kuhalalisha tuhuma zote za ufisadi zilizotolewa na viongozi wa CHADEMA dhidi ya EL na kumfanya awe msafi? Je, aliletwa kwa maslahi ya Wananchi au...
  8. T

    Tetesi: Kumekuwepo na taarifa kuhusiana na mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM

    Kumekuwepo na taarifa kuhusiana na mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM hasa katika nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara na Katibu Mkuu.kuna fununu kuwa Mzee Kinana ameshaandika barua ya kuomba kupumzika na kwa upande wa Katibu Mkuu inasemekana Mama haridhishwi na utendaji wa katibu mkuu wa...
  9. Kumrudisha Makonda Katika Uongozi ni Ishara Tosha kuwa CCM Hawaziwezi Siasa za Kistaarabu Kama Wanavyojinasibu

    Ndiyo hivyo. Kiongozi makini na mstaarabu kamwe abadani hawezi mpa nafasi Makonda. Lakini kwa CCM hii imetokea kwa sababu Hayati Magufuli alishawazoesha siasa chafu. Hapo katikati walijaribu kurudi lakini hoja za siasa toka upande wa pili zinawashinda majukwaani. Wameamua kurudisha warusha...
  10. Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania watoa siku 30 kwa Uongozi la sivyo watatangaza mgogoro

    Baraza Kuu Maalum la Chama cha Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania, limetoa siku 30 kwa uongozi wa shirika hilo kuweka mkataba wa hali bora kwa Wafanyakazi ambao rasimu yake ilishakuwa tayari tangu Februari 2023, tofauti na hapo watatangaza mgogoro na Mwajiri wao (TRC). Baraza hilo limetoa...
  11. Makonda alizaliwa kuwa Kiongozi, ni aina ya watu adimu sana kwenye Uongozi wa Juu

    Mimi sina mengi, title ishamaliza uzi. Ila kwa kuongezea huyu mwamba ni hatari. Mtu hadi kaweza kupata attention ya USA na wakamzuia kuingia nchini kwao halafu wewe unakuja kuona ni mtu wa kispoti spoti? Hapa tunasema super sub ya namba 7 imeingia uwanjani. Ngoja niongeze popcorn huku...
  12. R

    Kwa namna Madeleka anavyomtukana Dr. Makakala mitandaoni, itoshe kusema Makakala ana roho ya uvumilivu. Uongozi ni Busara na hekima, hongera mama

    Mfumo wetu wa nchi kiongozi ni mfalme na yeyote atakayenyanyua mdomo atachukuliwa hatua. Mfumo wa majeshi ndiyo mbaya kabisa kwa sababu wanaamini kwamba wapo juu ya kila jambo. Dr. Makakala ni kiongozi wa taasisi ya usalama nchini anayepitia magumu kutoka kwa wale wanaotamani aondolewe kwenye...
  13. Ushauri wangu kwa Uongozi wa Klabu yangu pendwa ya Simba SC

    Awali ya yote niwape salamu mbiu Tabuleleeee (itikia Laaaaaa). Hii ni baada ya matokeo ya jana tarehe 5-11-2023, 1-5. Mashabiki wenzangu wa Simba naomba tuwe wavumilivu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Hili ni pito ambalo hata Yanga alipitia kwa miaka mi4 mfululizo. Turudi kwenye...
  14. B

    Aina ya uongozi tulio nao; anayechelewesha msafara ng'ombe wa mbele, anatandikwa wa nyuma

    Bara la Afrika pamoja na kuwa na raslimali za kila namna lakini bado ndo bara linaloongoza kwa umaskini kati ya mabara yote 7. Hii inachagizwa na ukosefu wa viongozi bora. Viongozi wengi wa nchi za Kiafrika wanafanana karibia kwa kila kitu (ukitoa wachache tu wanaojitambua). Wengi wao hawana...
  15. Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

    Miundombinu mibovu ndani ya jiji la Arusha. Barabara za lami,ndani ya jiji la Arusha barabara nyingi za lami ni nyembamba na haziendani kabisa na wingi wa magari yaliyopo. Barabara za vumbi,jiji la Arusha limezungukwa na barabara za vumbi kila kona,hii ni aibu kubwa sana kwa jiji ambalo...
  16. B

    Baadhi ya viongozi Serikalini ni vibaka waliojivika vazi la uongozi

    Habari za leo wana jamvi, Moja kati ya vitu vya muhimu sana ili nchi iendelee, lazima uongozi uwe vizuri. Viongozi wawe waadilifu na watambue kwamba wapo kwenye nafasi walizopo kwa ajili ya kuwawakilisha wananchi kwa ujumla. Bahati mbaya sana tuliyo nayo kama Taifa, ni ile hali ya viongozi...
  17. Hizi ni posts zilizotengenezwa na jeshi la israel

    https://www.instagram.com/p/CytxASppZGn/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== https://www.instagram.com/p/Cyttef9pL-Z/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== Wavamizi wa kiyahudi wakifanya yao, huku wanauwa watoto, wazee, wajane n.k, na wala hawajali. Ndugu zangu waislamu, tuzidi kuwaombea ndugu zetu kwa mitihani...
  18. B

    Tundu Lissu atoa muhadhara chuo kikuu cha Darla Moore School of Business, University of South Carolina juu ya Uongozi Afrika

    25 October 2023 Columbia, South Carolina United States Tundu Lissu |Guest Lecturer Corruption, Darla Moore School of Business, University of South Carolina https://m.youtube.com/watch?v=IYfoTqmzPv0 Guest Speaker Hon. Tundu Antipas Lissu, a trained lawyer graduated from the University of Dar...
  19. W

    Ushiriki mdogo wa vijana katika nafasi za uongozi Tanzania unatia wasiwasi

    Nchini Tanzania, ushiriki wa vijana katika nafasi muhimu za uongozi bado ni mdogo sana, hali ambayo haionyeshi ukweli wa idadi ya watu wa nchi. Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 ilifunua kuwa takribani asilimia 50 ya Watanzania wana umri wa miaka 18 na chini, na thuluthi mbili ya idadi ya...
  20. Siku Tanzania tukifika hata theluthi(1/3) ya seriousness katika uongozi kama waliyo nayo Singapore na China hakika tutafika mbali sana

    Namna taifa letu tunavyo liendesha ni kama wagonjwa wa akili. Mambo ni hovyo hovyo watu hovyo hovyo wanapewa madaraka makubwa ya kujenga nchi. Uongozi sio nguo ya ndani kwamba kila mtu lazima avae. Tunafanya mchezo kabisa katika kujenga nchi siku tutakapo amua kuiga hata theluthi (1/3) ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…