uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nehemia Kilave

    Mzee Magoma Akata Rufaa, asema bado hautambui Uongozi

    Muwe na siku njema wananchi , kuna uwezekano wanaomuelewa huyu Mzee ni wale Wawili. Mzee Juma Magoma baada ya kushindwa kwenye kesi aliyoifungua Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya Baraza la Wadhamini la Yanga, amekata rufaa kwenye Mahakama Kuu akiendelea kutafuta haki yake. Soma Pia...
  2. BOB LUSE

    Rais kapata Uongozi kwa neema na rehema za Mungu, ajiepushe na Kiburi!

    Kinyume na Watangulizi wake,Raisi wetu, hakuchaguliwa Kwa nafasi anayoishikilia,Alipata baada ya Boss wake kitwaliwa. Mtangulizi wake alikuwa jeuri, mjuaji, katili na mwenye kiburi. Alipenda atawale muda mrefu, Mungu hakumpa hiyo nafasi. RAIS husikilizi vilio vya wananchi katika maeneo...
  3. T

    Yanayoipata chadema sasa yangekuwa na impact kubwa sana endapo tungekuwa na uongozi wa juu wa chama damu changa.

    Najaribu tu kuimagine Heche - mwenyekiti Lissu - makamu Mrema - k/mkuu Mnyika - n/mkuu Halafu eti yatokee yaliyotokea nchi ingekuwa inachemka muda huu.
  4. GENTAMYCINE

    Nikisema Uongozi wa Simba SC ni wa Kihuni na wa Yanga SC unajitambua mnanichukia, haya malizeni na la Awesu Awesu

    Na kwa taarifa yenu kuna ya Wachezaji wengine akina Kagoma na Mashaka nao huko walikotoka Vilabu vyao Vimelalamika TFF na Wao watashinda Kesi kama ilivyoshinda KMC. Najua mtamalizana nao hawa Leo kabla ya Dirisha la Usajili kufungwa rasmi Kesho Saa 5 na dakika 59, ila hiki Kitendo kinatosha...
  5. Heparin

    Pre GE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani

    Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa mwamvuli wa maadhimisho ya siku ya vijana...
  6. Gemini AI

    Pre GE2025 Tundu Lissu asema CHADEMA hakuna ukomo wa Uongozi, akigusia uenyekiti wa Mbowe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse hivi karibuni amesema CHADEMA hakuna utaratibu unaotaka kiongozi awe na ukomo wa Uongozi kwa muda maalumu isipokuwa anatakiwa kugombea na sio kuwa kama mwenyekiti...
  7. William Mshumbusi

    Kama uongozi wa Simba utamwamini kocha Fadlu David. Leo leo lazima Tutapigwa na APR na kocha atakuja na Maneno ya matumaini tu

    Washabiki tuko Siliasi sana kutokana na Simba ilivyojipaga kwenye Media msimu huu. Kwa cv ya Fadlu David ilivyo. Ni kocha flan ivi kama Julio. Maneno mengii matokeo 0. Kama uongozi haujaongea lolote na APR basi leo tunaenda kutia aibu alafu kocha atakuja na maneno mingi mingi tu.
  8. B

    Kusuasua kwa harakati za ukombozi nchini ni matokeo ya uongozi dhaifu

    Kwamba hawa nao tumawapa majukwaa ya kisiasa na kuwashangilia? Kwamba tuna hata wenye kujidhania kuwa ni wenye hoja kuliko hata wenye CV zao zinazojulikana kimataifa? Kwamba tumefikia hatua ya kuwaacha hata wapuuzi kuwanyanyapaa wenye akili zao? Na Bado tupo tupo tunakenua? Ama kwa hakika...
  9. GENTAMYCINE

    Tafadhali Uongozi wa Simba SC muonyeni Dogo Kipa Ali Salim aache tabia yake mpya aliyoirithi kwa Rafiki yake wa KMC FC ya 'Kutuumizia' Makipa Wetu

    Alikuwa ameanza vizuri tu, ila nae sasa kawa Mpuuzi wa kupenda yale mambo yetu ya Kienyeji / Kuroga kwa Kuumiza Wenzake. Mwambieni huyu aliyekuja Leo yaani Kihistoria tu nchi aliyotoka kama hujui Kuroga / Kupuliza hupewi ng'o 'Passport' ya kwenda nje ya hiyo nchi nikimaanisha kuwa amekuja akiwa...
  10. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC na wa wana Simba SC wote tafadhali tuwaangalieni kwa Jicho la Umakini sana hawa akina Ommy Dimpozi na Hamisa Mobeto

    Mimi binafsi hata iweje kwa kujijua Kwangu ni mwana Simba SC kamwe siwezi kuwa na Ukaribu wa Mashirikiano ya aina yoyote yale na Mtu wa Yanga SC. Sasa inakuwaje Watu kama akina Ommy Dimpoz na Hamisa Mobeto ambao hadi naambiwa hata huwa na Ukaribu na Watu muhimu tu na wakubwa ndani ya Simba SC...
  11. GENTAMYCINE

    Safi sana Uongozi wa Simba SC kwa 'Kumkomoa' hivi Kibu Denis

    Klabu ya Simba SC ( kupitia Msemaji wake ) imesema kuwa kwa Klabu yoyote ambayo inamtaka Kibu Denis basi Dau la Kumsajili ni Dola za Kimarekani Bilioni Moja tu. Si mnajifanya Wajanja kwa kutaka aende Norway kwa muda kisha Dirisha dogo arejee Kwenu Mafurikoni sasa Price Tag yake ni Dola hizo za...
  12. kwisha

    Umaskini wa nchi za Afrika umetokana na system mbovu ya uongozi

    Baada ya kuishi hizi nchi za wenzetu Nimeona mambo mengi pia nimejifunza mambo mengi Hasa hasa mambo ya uongozi japo sina elimu kubwa zaidi ya kujua how hawa wenzetu wanaongoza nchi zao ila nimejifunza machache kidogo Cha kwanza Ni madaraka ya Rais Katika nchi za wenzetu Rais ana play nafasi...
  13. Pdidy

    Uongozi wa Yanga umuonye Haji Manara, utoe tamko tafadhali hatutaki shida za Simba Yanga

    Yanga ni taasisi inayoheshimika inayojiheshimu Sidhani huuu uhuni unaotokea kwenye redio za heshima ukifanywa na Haji Manara kama unakubalika Haiwezekana taasisi moja ikawa na wasemaji wawili Ali Kamwe ana haki kuimba kujiuzulu hamuwezi kumkalia kimya mpaka sasa Haji akitamka yeye ndie...
  14. U

    Ni kweli walikaacha kachanga hako hai na kwenda Nako hukoo juu? Kaliishi miaka laki 6, baadaye kaliasi na kutupwa chini na ndiyo anasumbua Dunia?!

    Wadau hamjamboni nyote? Huwa sipendi kuhoji Imani za watu wengine kwani Kila mtu ana Imani yake nahivyo huwa namheshimu Hata hivyo Leo nimeona nihoji japo kwa uzuri tuu. Kwamba waliagizwa na bosi wao kuua wazazi, Ndugu na jamas zake wote japo wengineo walifanikiwa kutorokea baharini...
  15. William Mshumbusi

    Kwa kinachoendelea Simba imekuwa timu ya Ovyo ovyo, kocha wa ovyo, hadi washabiki na uongozi wa ovyo ovyo. Hatujui kabisa

    Washabiki wa Simba hatufatilii kabisa ukweli na uhalisia wa timu. Tunasubiri uchambuzi wa Wachambuzi bahasha na kuweka matarajio ya kipuuzi. Nilifatilia usajili ni wa ovyo kabisa. Tumesajili wachezaji wawili tu wa kiwango cha simba na kurundika wa ovyo ovyo. Nimeposti sana takwimu za kila...
  16. GENTAMYCINE

    Kwakuwa Uongozi wa Simba SC mmekataa kabisa kumuacha 'Mchovu' Onana sasa naiombea Yanga SC Ushindi mnono katika Derby yetu nao

    Kila Siku GENTAMYCINE naimba hapa JamiiForums kuwa muacheni Onana hamnisikii sasa nataka Derby tufungwe tu.
  17. stabilityman

    Uongozi unaoacha alama hii ndio faida ya bomba la mafuta

    Mama Samia atakumbukwa vizazi na vizazi kwa wema wake na kubadili maisha ya Watanzania wengi maskini Faida moja wapo ya BOMBA LA MAFUTA ni KUGUSA MAISHA YA WATU.
  18. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC huyu Onana tunambakiza wa nini?

    Tafadhali achaneni nae kwani hana jipya wala msaada wowote ule Kikosini. Mchezaji gani Kutwa anawaza kwenda Saluni, Kujiremba na Kujipodoa tu? Binafsi simtaki ndani ya Kikosi chetu na naomba nae apewe Thank You upesi sawa?
  19. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC tunaomba Taarifa za wapi alipo sasa Kibu Denis

    Na mlituaminisha muda tu kuwa mmeshamalizana nae sasa ni kwanini hata Kambini katika Pre Season wala hayuko?
  20. Mpigania uhuru wa pili

    Juma Magoma anataka akabidhiwe uongozi wa Yanga SC na asimamie assets zote za timu

    Kwenye hukumu ya magoma yameongelewa mengi ila katika jambo ambalo limenichekesha ni yeye kutaka kukabidhiwa timu na account zote za timu ziwe chini yake kirahis kirahis swala la mtu kutaka kupewa timu kirahsis rahis hiki ni kituko na ni ujumbe kwamba tuliowengi tunapenda short cut na kudandia...
Back
Top Bottom