Sisi tunatoa tu maoni yetu hatujui yataisaidiaje nchi yetu leo na kesho, lakini ni heri kusema kuliko kunyamaza.
Nchi yenye watu zaidi ya 60m hawakosekani watu safi wenye sifa ya kuongoza wenzao kupata maendeleo. Kama ukiwekwa utaratibu na mfumo mzuri wa kuwapata viongozi bora unaofanana na...
Hata nyaraka za Usajili walizosaini Hawa viongozi ni batili. Hii inapelekea kua hata wachezaji waliosajiliwa Kwa nyaraka za huyu bwana ni wachezaji batili.
Ki msingi mechi zozote walizocheza Hawa wachezaji feki waliopitia mikataba feki ya usajili ni mechi "hewani", wapinzani wa hizo mechi...
Zaidi sana utapoteza muda na fedha zako, tena kwa fedheha sana, ukiwa na elimu ya madigrii kadhaa ya kitaaluma wakati mganga hata darasa la saba hajamaliza.
Mganga hawezi na wala hana uwezo wa kukupatia uongozi wa wananchi, bali atakutisha tu kwa kukuhimiza kufanya bidii kutafuta kura kwa...
Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Ambureni Leo Tarehe 6/7/2024. Imemvua Uongozi katibu wa tawi la Ambureni Ndugu. Chales Tarimo, pamoja na nafasi zake zote za chama katika tawi la Ambureni. Hii ni kutokana na tuhuma zinazomkabili za matumizi mabaya ya ofisi.
Aidha...
Uongozi wa klabu ya Simba umempa mkataba wa miaka miwili aliyekuwa kocha msaidizi wa Raja Casablanca, Fadlu David ambaye inaelezwa atatua nchini Ijumaa sambamba na wasaidizi wake.
Kocha huyo ambaye amethibitisha ujio wake Tanzania baada ya kutumia ukurasa wake mtandao wa kijamii ‘Instagram’...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna Wanafunzi wa Chuo cha DUCE (Dar es Salaam University College of Education) wamekuwa wakizungushwa kupata malipo yao ya “refund”, kwa kile alichoeleza kuwa Idara ya Fedha ya DUCE inawasumbua, ufafanuzi umetolewa na Chuo husika.
Mwanachama...
Mjumbe wa Baraza Kuu UWT Taifa, Mariam Sagini amewataka vijana hasa wa kike kutengeneza historia nzuri maishani kwa kujaza nafasi za mbalimbali za uongozi hasa kadri zinavyojitokeza.
Akizungumza na vijana kwenye Hafla ya Ufungaji wa Kambi la Umoja wa Vijana mkoani Katavi iliyofanyika katika...
Uongozi wa Edeni
Rushwa kama upepo wa kusi, inavuma kwa kasi,
Inakita mizizi kila kona, inaibomoa Edeni,
Kila mtaa kila kijiji, maendeleo yanabuma,
Watu wanasaga meno na kulia, haki haipatikani.
Uzembe kazini unatisha, unaenea kama magugu,
Wafanyakazi wanalala, huduma zinakuwa mbovu,
Ufanisi...
Rais wa Jamhuri ya Kenya amekubali kushindwa....
Amekubali kuwa yeye ni kiongozi wa serikali lakini kubwa zaidi ni kiongozi wa wananchi wa Kenya...
Amekubali kuwa sauti ya umma ni sauti ya Mungu...
Amekataa na kutambua kuwa uongozi si kutumia nguvu na mabavu bali ni kuwa na sikio la...
1. Khalid Aucho
2. Dickson Job
3. Ibrahim Baka
4. Djigui Diarra
5. Yao Kwasi
6. Aziz K
7. Pacome Zouzou
Na sijui kwanini mpaka sasa bado hawajaachwa wakati Sisi wana Yanga SC wenyewe hatuwataki na tumewachoka.
Ninawasilimia wana Jf wote. Baada ya mapumziko ya kuandika hapa na kuwa kwenye kundi la wasomaji, leo nimerejea baada ya miaka miwili. Ninaomba mnipokee na msinifokee.
Niendelee na mada.
Katika maisha ya kila siku ya hapa Duniani kila mtu ni kiongozi, tofauti ni kuwa ni idadi ya watu...
Jamii ya Kimasai ni Moja ya jamii ambayo hadi sasa inaishi kwa kufuata mila na tamaduni zake, tofauti na jamii nyingine ya kiafrika ambapo sasa hivi zinakwenda kusahau kabisa mila yake.
Katika jamii ya kimasai, kuna Viongozi wa kimila Wanaojulikana kama Leigwanan, hawa ni viongozi ambao...
Utangulizi
Tanzania ina hazina kubwa ya maliasili na rasilimali watu ambayo inaweza kutumika kuleta maendeleo endelevu. Katika miaka 5, 10, 15, na 25 ijayo, tunaweza kuona mabadiliko makubwa ikiwa tutaweka mkazo kwenye mazingira na uongozi bora. Hili andiko linaangazia maono ya kibunifu kwa...
Yaani huyo Mchezaji hata kwa Timu yangu niiyokuwa nikiifundisha Kawe ( wakati bado Sijahama ) asingeweza kupata Namba kwani nilikuwa na Kijana Mmoja matata niliyempavchika Jina la Mayele sasa nimemuuza 'Kisela' klabu moja akaanze kucheza Timu yao ya Vijana ila najua kwa Kipaji chake Msimu ujao...
Mahubiri yenu yanaikumbatia serikali. Hubirini HAKI, wizi wa mali za Umma , uuzwaji wa rasilimali za nchi, MaDc, RC, kuwaonea watu , report za CAG na vitu kama hivyo. Maadili si ushoga/ubakaji tu.
Hubiri na kusema uongo si maadili ( Magufuli yuko ofisini anachapa kazi, kumbe yuko mortuary)...
Tanzania imeongozwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa zaidi ya miaka 40. Ingawa chama hiki kimeleta maendeleo kadhaa, kuna changamoto zinazozidi kujitokeza zinazohitaji mabadiliko ya uongozi. Swali linabaki: Je, ni wakati muafaka kwa vyama vingine kupewa nafasi ili kuleta mabadiliko ya maendeleo...
Dalili na ishara ni za wazi na bayana kabisa, kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024 na ule uchaguzi mkuu mapema oct.2025, itakua na miongoni mwa chaguzi za wazi sana, huru sana na za haki mno, ambazo pia ni rahisi sana kuwahi kufanyika nchini Tanazania, katika mazingira...
Tangu 2015 watanzania hatujapata rais anayestahili na mwenye sifa za uongozi.
Rais wa 2015 - 2021 .
Huyu alikuwa anaendesha nchi kama nyumba yake. Alijawa na sifa za kishamba, matusi kibao na udikteta usioelezeka. Alitaka kila kitu kiwe siri, kuanzia mikopo inayochukuliwa na serikali mpaka...
Katika kipindi cha miongo michache iliyopita, Tanzania imepiga hatua kubwa katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Hata hivyo, changamoto za utawala bora bado zinabaki kuwa kikwazo kikubwa katika kufikia malengo yetu ya maendeleo endelevu. Ni wazi kuwa uongozi imara na taasisi madhubuti ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.