Raila Odinga ametoka kwenye uongozi wa chama cha ODM naona
ni maandalizi ya kwenda AU hapo February 2025.
Je ikitokea amekosa uenyikiti wa AU atarudi kwenye nafasi yake ya
Kiongozi wa ODM au atabaki kama mshauri na mzee wa chama ?
Salamu kwenu watu wa Sayansi ya Siasa.
Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Simon Mwakifwamba, ametoa onyo kali kwa wanachama wa CCM ambao watakuwa kikwazo cha ushindi wa chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Amesema chama hakitasita kwenda nao jumla jumla wale watakaozuia kufanikisha malengo ya kushinda, kwani...
Kwanini hawafanyi kama wanavyofanya CCM, kuwaandaa vijana wao wa jinsia zote, na kuwapa fursa na nafasi tofauti tofauti za uongozi hata baada ya kuhudumu katika jumuiya za urika wao wa awali?
Maskini ya Mungu, vijana wengi kwa mfano upinzani, wanaishia tu kwenye idara zao za nyakati za ujana...
Naona Tanzania inazidi kujizolea sifa mbaya kimataifa.
Sasa ni zamu ya DW.
Yasikilize/ yatazame mahojiano ya Tundu Lissu.
Serikali ya Tanzania imesitisha shughuli za mtandaoni za gazeti moja kuu. Hii ni baada ya kutoa matangazo ya kibiashara yaliyomhusisha rais na kurejelea utekaji nyara na...
Moja ya kauli aliyotoa Rais Samia Jana wakati akikizindua kitabu Cha Hayati Edward Sokoine, katika hafla iliofanyika Dar, aliwaonba viongozi wenzake, waige mfano wa Hayati Edward Sokoine wa uzalendo wa kulipenda Taifa lake wa hali ya juu sana na kuwatumikia wananchi wa nchi hii Kwa uadilifu...
Kumekuchaje wanajamvi?
Wakati tukisubiria hukumu ya akina Nyundo Mjeda na wenzake dhidi ya Binti wa Yombo, hebu tumkumbushe mama kitu kimoja cha msingi maana huenda hajui.
Kwenye uongozi kuna mambo 2 ya msingi ambayo kwa kiongozi yeyote yule hata mjumbe wa nyumba 10 huwa hayakwepeki.
Mambo...
Kenya Kila mtu ni mwanasiasa, anajua Katiba na anaweza kuchambua Financial Bills na kumpinga Rais na Serikali yake muda wowote tena kwa hoja thabiti.
Nenda Jacaranda kwenye Bunge la Mtaani la akina Nuru Okanga uone hoja zao.Bunge la Tulia Ackson linasubiri!
Kenya kwenye burudani kama mpira na...
Leo napenda kuja na mada ambayo huwenda ikasaidia wale waliopo kwenye nafasi za uwongozi wa juu wa Taifa.
Awali ya yote nilazima tuambiane ukweli Taifa lina jengwa ktk misingi ya siasa bora ila ni bahati mbaya sana Taifa lilipo amua kuingia ktk misingi ya siasa za vyama vingi sio kwa chama...
Wala sihitaji kuandika thread ndefu juu ya hili, kwa sababu linapaswa kuwa wazi sana kwa mtu yeyote mwenye akili. Kuna tofauti kubwa sana kati ya serikali ya Raisi Magufuli na serikali ya Raisi Samia iliyopo madarakani sasa.
Magufuli akiwa raisi wa Tanzania, alikuwa tayari kufanya lolote lile...
Viongozi mlioko kwenye nafasi zenu yanapotokea mauaji ya namna hii kuna ujumbe mnatumiwa ambao kuuelewa inabidi ku na hekima sana na si kua na akili kama za kwenu.
Kuna mauaji mengi zaidi haya ripotiwi hasa beach ya Ununio ili kuzuia Taharuki zaidi na unapo ona Polisi wanatokeza na kusema nchi...
Baada ya Jana Timu yetu Kujitahidi na kutoa Sare ya Suluhu (siyo Samia) na Wachezaji wetu kufanyiwa Fujo pale Uwanjani (nchini Libya) nina uhakika wa 100% ili Kuingiza Timu yetu matatizoni (kama sehemu ya Kulipiza Kisasi) kuna Timu moja yenye Utoto, Roho Mbaya, Ushamba, Chuki iliyopitiliza dhidi...
huu ni mwanzo mzuri kwa katibu mkuu wa CCM Dr. Emanuel Nchimbi baada ya maelezo yake yaliojaa hisia kali za uchungu, huruma ya kibinadamu na kukasirishwa na vitendo vya utekaji hususani dhidi ya utekaji na mauaji ya kikatili ya kamanda Ally Mohamed kibao kiongozi mwandamizi wa chadema..
Lakini...
Binafsi naona Mbowe angeachia kijiti cha uenyekiti wa Chama ampe Lissu au Heche John
Nasema haya kwasababu Chadema kwa sasa na upinzani unahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, misimamo mikali na ambaye hajapoa sana
Simchukii Mbowe hata kidogo wala siangalii ukabila wala dini, ingekua natizama...
anafaa
chadema
chama
dharura
hali
kamili
kiongozi
kuchukua
kujiandaa
kukosa
lisu
makamu
muhimu
mwenyekiti
mwenyekiti wa chadema
nafasi
sana
taifa
uenyekiti
uenyekiti wa chadema
uhalali
uongoziuongozi wa juu
wake
nawaombea kila la kheri wahusika na washiriki wa uchaguzi muhimu sana uliosalia kwa maendeleo ya ushindani wa ndani ya vyama vya siasa, na ustawi wa demokrasia nchini.
Mwenyezi Mungu awaepushe na kila hila na shari ilopangwa dhidi ya maisha ya mshiriki au muhusika yeyote kwenye masuala haya ya...
Freeman Mbowe:Freeman Mbowe, mwenyekiti wa CHADEMA, amepongeza baadhi ya hatua zilizochukuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan, hasa katika kufungua anga la kisiasa na kuruhusu mazungumzo ya kitaifa. Mbowe ameonyesha matumaini kwamba Rais Samia anachukua hatua sahihi katika kurejesha uhuru wa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amekutana na kufanya kikao na Uongozi wa Jeshi la Polisi nchini ukiongozwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura ambapo kikao hicho kilihusu mambo yanayohusu Usalama na Amani ya nchi ikiwemo kujadili matukio ya...
TUYAONDOE MAJAMBAZI YA KISIASA KWENYE VYEO YALIKOJIPENYEZA KWA RUSHWA YAKAPATA VYEO ILI TUBAKI NA WATU WAAMINIFU NA WAADILIFU WENYE UCHUNGU WA KUWAINUA MAFUKARA
Nilisikika nikiunguruma katika Ulimwengu wa Kiroho huko Ndotoni. Baada ya kuyaona Majambazi ya Kisiasa Baadhi yaliyo jipenyeza kwenye...
chama
elimu
giza
haki ya kukosoa
katiba
kiboko
kukosoa serikali
kwani
macho
maradhi
sana
serikali za mitaa
ukweli
umuhimu wa kutii katiba
uoga
uongozi
viongozi wa serikali
vitendo vya rushwa
wabinafsi
wakati
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.