Je, Azam FC ni timu ya Waislamu tu? Mbona uongozi umekaa kidini

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
ISLAMIC FOOTBALL CLUB​
FB_IMG_1757505139756.jpg
 
Ila wakristo kwa kulalamika mpo vizuri kama waislamu wangekuwa wanalalamika kama nyinyi sijui nchi ingekuwaje haya mbona husemi wawekezaji wote na wasemaji wa SIMBA na YANGA ni waislamu na wasanii mastaa kwenye kila sekta ni waislamu mbona husemi hilo .
 
Waislamu wenzao wa Al Ahly, Zamalek, Pyramid, Wydad AC, AS FAR, CRB, Al Hilal-Saudia, Al Ahli Saudia, Al Hilal-Sudan, El Merreikh, Al Ittihad, nk wana akili ndio maana wanafakiwa. Azam itafanikiwa endapo watapevuka na kuamua kwa dhati kuwa wanahitaji mafanikio kuliko kukumbatia uislamu usiotija.
 
Ila wakristo kwa kulalamika mpo vizuri kama waislamu wangekuwa wanalalamika kama nyinyi sijui nchi ingekuwaje haya mbona husemi wawekezaji wote na wasemaji wa SIMBA na YANGA ni waislamu na wasanii mastaa kwenye kila sekta ni waislamu mbona husemi hilo .
Tofautisha wawekezaji na viongozi wa timu.... Simba na Yanga zina viongozi mchanganyiko, ila Azam panel nzima imejaa maostadhi tupu....

Alafu uwezi kuta Timu za wakristo tupu, labda iwe timu ya kanisa... lakini kama ni timu binafsi au ya wanachama lazima ukute watu waitikadi tofautitofauti za kiimani..... Azam haipati mashabiki kindakindaki kwa sababu imekaa kidini sana
 
Mbona mbeya city imejaa makafiri tupu na waislamu hawalalamiki?
Waislamu mbeya ni wachache sana, ukanda mzima wa mbeya kwenda mpaka Zambia Waislamu ni wa kuokoteleza mmoja mmoja.... zambia yenyewe unaweza kusema nchi ni ya Wakristo tupu.... ukanda huo kwenda mpaka Botswana, Congo na Namibia wengi ni Wakristo.... Uislamu kwa Afrika uko maeneo ya kaskazini mwa bara, magharibi ya kaskazini na Mashariki mwa bara, ukienda maeneo kusini na magharibi ya kusini wengi ni Wakristo.... na ndio maana ukienda nchi kama Mali, senegal, sudani, Somalia, utakuta timu ni za Waislamu tupu viongozi.... lakini Tanzania ni nchi ya dini mseto na tuko wengi kwa kila dini, na taasisi yako sio ya kidini sasa kwa nini timu iwe ya watu wa viongozi wa dini fulani tu

Timu imejaa maostadhi na masheikh kwenye menejimenti
 
Na Azam ni timu ya waarabu koko unawapangiaje waweke makafiri?
 
Back
Top Bottom