makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
NONGWA hizo.
Ndiyo maana skendo ilibumburuka wakristo ni wajanja wanaweza kujidai wapo pamoja na waovu kumbe wanatumia huo mwanya kuvujisha siri ....kwa taarifa yako wote walio pewa Rushwa walikuwa siyo wausika wakuu wausika wakuu wao awakupewa rushwa bali walichukua mgao wao na ni waislamu...hivyo waliopewa rushwa walikuwepo wakristo ila waliotoa rushwa no waislamu wao walihusika kugawana mgao ..hivyo kwenye like tukio kulikuwa na mambo mawili ...Ni kweli mkuu twende taratibu kwenye ile skendo ya escrow hakuna sheh hta mmoja aliyepata mgao wote walikuwa ma padre na maaskofu tena walipewa kwenye bahasha sasa unasemaje waislamu ni wezi wakati mpaka viongozi wenu wa dini walipewa pesa kwenye bahasha.
Hata hueleweki unachokiandikaNdiyo maana skendo ilibumburuka wakristo ni wajanja wanaweza kuj9dai wapo pamoja na waovu kumbe wanatumia huo mwanya kuvuj9sha siri ....kwa taarifa yako wote walio pewa Rushwa walikuwa siyo wausika wakuu wausika wakuu wao awakupewa rushwa bali walichukua mgao wao na ni waislamu...hivyo waliopewa rushwa walikuwepo wakristo ila waliotoa rushwa no waislamu wao walihusika kugawana mgao ..hivyo kwenye like tukio kulikuwa na mambo mawili ...
1)nayo ni wapewa rushwa (hawa walipewa kunyamazishwa ndiyo hao wakristo unao wasema na ndiyo walio vujisha hilo jambo likabumburuka )
2)watoa rushwa ..waislamu(wahusika wakuu wa kukwapua mabilioni hawa walichukuq mgao siyo rushwa)
Wewe umewasema wapokea rusha bila ya kuwatambua watoa rushwa ambao ndiyo wahusika wakuu
Soma tena wewe zuzu wa masjidHata hueleweki unachokiandika
Sultan Sayyid Said wa Zanzibar alikuwa dini gani, yeye ndie aliongoza genge la kukamata watumwa na kuwauza kwa wazungu, na Tiputipu nae alikuwa dini gani, Tiputipu ndiye alikuwa kama dalali wa kutafuta watumwa huku bara alipita chocho kwa chocho, kijiji kwa kijiji kutafuta watumwa....Kwanza nyinyi hamtakiwi kuongea chochote wakati wa kupigania uhuru nyerere alikuwa pamoja na waislamu na ndio walio mchangia hela na kumpa support wakati nyinyi mlikuwa mna waona mabeberu ni wakristo wenzenu baada ya uhuru mkajifanya wazalendo historia nyerere aliifuta ila waislamu wana mchango mkubwa kwenye kupigania taifa hili kuliko yoyote unayemjua wewe na raisi akiwa muislamu kelele kibao kati ya mama samia na magufuli mwamba wa chato alikuwa katili lakini mlipiga kimya.
Magufuli aliangalia uwezo zaidi, na sio udini... kwani mbona majaliwa alikuwa muislamu au yeye sio muislamu, mchengerwa si alikuwa waziri, mwana FA si alikuwa naibu waziri, Hamisi kigwangala je si alikuwa waziri wa utalii badae akapewa afya na akanyanganywa....Kipindi cha magu,cabinet yake mawaziri waislam walikua wawili tu,ummy na jaffo,imagine huyu mama cabinet ijayo aweke wakristo wawili,nchi italipuka kila kona
Masheikh waliwekwa kipindi cha Kikwete... husilete hoja za uongoNani akimbie uzi hao hawana wanachojua magu aliwaweka masheh ndani akasema magaidi wakristo mlikaa kimyaa kawekwa lisu ndani mnasema mama mdini.
sasa we nae haujui? Yaani mmliki mwarabu alafu mgalatia apeleke maguu inawezekana kweli?ISLAMIC FOOTBALL CLUBView attachment 3469134
Escrow ilitokea kipindi cha Rais gani? Genge la kikwete si unalijua, kama kweli walipewa bahasha zilikuwa za kuwanyamazisha tuNi kweli mkuu twende taratibu kwenye ile skendo ya escrow hakuna sheh hta mmoja aliyepata mgao wote walikuwa ma padre na maaskofu tena walipewa kwenye bahasha sasa unasemaje waislamu ni wezi wakati mpaka viongozi wenu wa dini walipewa pesa kwenye bahasha.
Imagine samia aangalie uwezo halafu wenye uwezo wengi watoke upande wa dini yakeMagufuli aliangalia uwezo zaidi, na sio udini... kwani mbona majaliwa alikuwa muislamu au yeye sio muislamu, mchengerwa si alikuwa waziri, mwana FA si alikuwa naibu waziri, Hamisi kigwangala je si alikuwa waziri wa utalii badae akapewa afya na akanyanganywa....
Mawaziri waislamu hawakuwa jaffo tu na ummy... tafuta vyanzo
Hili ni jukwaa huru, hoja ijibiwe kwa hojaWatu kama wewe jf inastahili kuwafungia kabisa mkuu, na wale wanaosapoti ushoga+mayahudi badala ya wanaume.
Hili ni jukwaa huru, hoja ijibiwe kwa hoja
Wewe unasapoti Palestina, kwani kwenu ni Palestina au udini ndio unafanya uwachukie wayahudi... unashindwa kuwachukia mafisadi nchini unawachukia wayahudi.
Mbona uwachukii Urusi kwa sababu kinachofanywa na Israel ndicho icho icho kinachofanywa na Urusi.... kwanza hakuna Mkristo anayewachukia Wapalestina.... nyie Waislamu, mnaamini Wapalestina ndio chimbuko la Uislamu, ila sisi Wakristo tunaamini Uyahudi ndilo chimbuko la Ukristo... Wakristo pia walitakiwa kuwa mstari wa mbele kuitetea Israel kama Palestina inavyopiganiwa na mataifa ya Kiislamu kama Iran na Yemen maana ndilo chimbuko lao, lakini Wakristo uchagua Amani kuliko vita, ndio maana ni marachache utakuta mkristo kaua kisa dini... lakini kwenu Waislamu ni jambo la kawaida kiasi kwamba mpaka dini yenu ikahusishwa na ugaidi.... utasema Marekani mbona inaisadia Israel ukweli ni kwamba Marekani sio taifa la Kikristo, Marekani ni nchi ya watu mseto kama ilivyo Tanzania... Manufaa ya Marekani pale Palestina ni ya faida za kisiasa.Hoja gani unayo! Ya kusapoti mauwaji kisa wanaouliwa ni waislamu! Siwachukii mayahudi ila nachukia matendo yao, hao walishalaaniwa, na kibaya kitawakuta.
Kwenye hiyo mbona iko sawa... Kwenye mafanikio hatuangalii wewe unatoka dini gani au kabila gani... tunachoangalia unaweza kulisaidiaje Taifa lako na hapo ndipo Marekani ilipowashinda watu wengi kwenye kufanikiwa...Imagine samia aangalie uwezo halafu wenye uwezo wengi watoke upande wa dini yake