Je, Azam FC ni timu ya Waislamu tu? Mbona uongozi umekaa kidini

Je, Azam FC ni timu ya Waislamu tu? Mbona uongozi umekaa kidini

Hapa Azam ni udini tu
Alijitahidi kwenye media akaweka wakristo ndo Sasa inafanya vizuri.
Sasa hiyo timu yake imejaa makobazi watupu ambao wao elimu Dunia imewapita kando wao wamekariri Aya za kiarabu na upumbavu kama huo.
Ndo maana litimu licha ya kuwekeza halifanyi vyema, kwakuwa amejaza wavaa kobazi wasio na maarifa

unateseka ukiwa wapi?
 
Unashangaa Azam, mbona ushangai Gormaia ni wajaluo watupu kuanzia, yule kiongozi wao mwanachama wa freemason hadi wachezaji
 
Ni kweli nakubali ila mikataba yote duniani ambayo nchi za Africa inaingia na mikataba ya kitapeli na ukandamizaji tunaingia na nchi zenye mlengo wa kikristo sijawahi kusikia hata siku moja waarabu wameingia mikataba ya kitapeli na nchi za Africa na vita vyote duniani vinakuwa financed na nchi za kikristo halafu wanawapa watu mikopo wanawaambia wakubali ushoga ila bandari kapewa mwarabu kelele kibao.
Kwa nini hamkuwapa hao Waarabu bandari ya zanzibar?
Subirini Netanyahu atawakomesheni
 
Sasa shida ni nini hapo wakati mwenye timu ndo ameamua hivyo! kwa nini mleta mada na wewe usianzishe timu yako ukaweka wote wakristo wenzio, halafu naomba nikuulize swali kwa nini familia yako ni wakristo tupu wakati tanzania ni nchi ya dini mchanganyiko?
 
Ila wakristo kwa kulalamika mpo vizuri kama waislamu wangekuwa wanalalamika kama nyinyi sijui nchi ingekuwaje haya mbona husemi wawekezaji wote na wasemaji wa SIMBA na YANGA ni waislamu na wasanii mastaa kwenye kila sekta ni waislamu mbona husemi hilo .
Astafhafurahi! Muziki kharam shekh.
 
Azam hata kwenye upande wa bidhaa, wafanyakazi wake 99% ni waislamu. Wana huo ubaguzi miaka na miaka.
 
Back
Top Bottom