ushuru wa marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania “Haki za binadamu”, ushuru wa Marekani umepata kisingizio kipya

    Serikali ya Marekani hivi karibuni imetangaza mpango mpya wa ushuru dhidi ya bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi za nje. Kulingana na mpango huo, viwango vya ushuru vinaanzia asilimia 10 hadi 12.5, na kuhusisha karibu washirika wakuu wake wote wa kibiashara, ikiwa ni pamoja na China, Umoja wa Ulaya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Afrika yabadili muundo wa uchumi kutokana na ushuru uliowekwa na Marekani

    Hivi karibuni, rais wa Marekani Donald Trump alitangaza nyongeza ya ushuru kwa nchi kadhaa, zikiwemo nyingi kutoka bara la Afrika, na hivyo kuvuruga utaratibu wa biashara ya kimataifa. Wakati Marekani imetoa siku 90 za nyongeza kabla ya ushuru huo kuanza kutekelezwa katika nchi nyingi...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Tim Cook aeleza kwa nini Apple hutengeneza iPhones nchini China. Sio kwa sababu ya gharama ya chini ya wafanyikazi. Tazama.

    Tim Cook aeleza kwa nini Apple hutengeneza iPhones nchini China. Sio kwa sababu ya gharama ya chini ya wafanyikazi. Tazama. Wakati huu, video ya 2024 ya Mkurugenzi Mtendaji wa Apple Tim Cook inazunguka kwenye mitandao ya kijamii kwa nini kampuni kubwa ya teknolojia inachagua kutengeneza bidhaa...
  4. JamiiForums Tanzania Vita ya Trump na Xi Jinping kuhusu ushuru bado mbichi. Kila mtu kashika mpini, nani atashinda?

    Marekani anasema sera ya tarrifs inahimiza katika kumfaidisha zaidi China kuliko yeye kwa muda mrefu. China anasema hatua ya Marekani iliyochukuwa ni ya kionevu na wako tayari kushindana nae hadi kieleweke. Kinachowapa kiburi china ni kuwa wana gharama ndogo za utengenezaji wa baadhi ya bidhaa...
  5. JamiiForums Tanzania Canada yatangaza ushuru wa asilimia 25% kwa magari ya Kimarekani

    Nchi ya Canada imetangaza ushuru wa asilimia 25% kwa magari ya Kimarekani.
  6. JamiiForums Tanzania Ushuru wa Trump ni fursa kubwa sana kwa wakulima wa korosho nchini, wakulima wajiandae kuvuna pakubwa

    Tanzania inaelekea wachumi wetu ni vilaza. Wanasubiri wadadavuliwe na watafuniwe kila kitu ili kuelewa hali yetu ya uchumi unaelekea wapi, hasa kipindi hiki ambacho USA chini ya Trump inawawekea vikwazo nchi inazozituhumu kuwawekea kodi kubwa(tarriffs) kwa bidhaa zianzoingia USA. Mambo kwa...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania itarajie maumivu ushuru mpya wa Trump

    Tangu Rais wa Marekani, Donald Trump, alipotangaza viwango vipya vya ushuru kwa bidhaa zinazoingizwa nchini humo, kumekuwa na hofu kutoka kwa mataifa mbalimbali duniani ya jinsi yatakavyoathirika. Wakati mataifa mengine kwa ujumla yakitangaziwa na Marekani ushuru wa jumla wa asilimia 10 tangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…