Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Abdallah 'Try Again' ametuma ujumbe kwa mashabiki wa timu hiyo kupitia mitandao ya kijamii akiandika; "Wa mwisho kufurahi, hufurahi zaidi. Mtafurahi kwelikweli,"
Simba itatangaza mchezaji mwingine mpya leo saa 5 usiku zikisalia saa chache kabla ya...