utalii

  1. F

    Mapendekezo katika maboresho ya utalii: Wazo la Royal tour iende mbali zaidi kiasi cha kumfikia kila mtu

    Hatua ya kwanza ya mafanikio ya filamu ya Royal tour imeonekana na tumeona ni kwa kiasi gani filamu hiyo ilivyosaidia kukuza utaili kwa kiwango kikubwa. Kwangu hatua hii ya kwanza ilikuwa ni ya majaribio lakini imefanya kazi kwa mafanikio makubwa. Hii ni hatua ya tathmini tu. Hatua hii ya...
  2. F

    Mapendekezo katika maboresho ya utalii: wazo la Royal tour iende mbali zaidi kiasi Cha kumfikia kila mtu

    Hatua ya kwanza ya mafanikio ya filamu ya Royal tour imeonekana na tumeona ni kwa kiasi gani filamu hiyo ilivyosaidia kukuza utaili kwa kiwango kikubwa. Kwangu hatua hii ya kwanza ilikuwa ni ya majaribio lakini imefanya kazi kwa mafanikio makubwa. Hii ni hatua ya tathmini tu. Hatua hii ya...
  3. Maendeleo Zanzibar mchawi Tanganyika

    Tukisherehekea Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar niwakumbushe tu 1. Namna ambavyo Zanzibar ni Maarufu Kwa utalii wa fukwe. Ila kikwazo Ni Tanganyika, Mfano, Mtalii Lazima apate viza ya Muungano ili kuingia Zanzibar (ambao mgao wake haueleweki).
  4. Mamlaka za utalii zije na utaratibu wa kulipia matangazo Instagram/Twitter/Facebook/tiktok

    Naona Kuna south Africa, Wana promoted tweets nyingi kweli, nadhani Kuna namna wanalipia, Kila ukifungua mtandao, lazima ukutane na tangazo lao la utalii. Nadhani wizara ilione hili ili kuvutia watalii na uwekezaji
  5. Namna 'Royal Tour' ilivyoikoa sekta ya utalii kutoka ICU

    Mwaka 2022 sekta ya utalii nchi iliimarika zaidi baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kucheza na kuzindua filamu ya Tanzania: Royal Tour. Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kabisa katika historia ya Taifa letu, ambapo Rais anacheza filamu nzima, tena kama muhusika mkuu katika harakati za...
  6. Kwa nini hatujakuza utalii wa 'kuuona mwaka mpya mapema'?

    Kuna aina nyingi sana za utalii. Mwingine unatokana na asili ya eneo husika, historia, utamaduni, nk. Dunia ya leo, utalii wa kisasa unatumia asili ya eneo husika na unaliongezea thamani kwa kutengeneza unique experience kwa mtalii anayekuja. Tanzania tumebahatika kuwa eneo kigeographia ambalo...
  7. Sharjah safari park, mbuga ya wanyama iliyotengenezwa UAE kudumaza utalii wa Tanzania

    Waarabu wanaua mbuga zetu kwa kasi sasa hivi mtu akiwa zake mapumziko Dubai hana haja ya kuja Tz anaenda zake Sharjah safari park anaona wanyama wote waliopo hapa Pia jamaa wameamua pia majina ya Tanzania kuyahamishia huko mfano Kuna Serengeti kuna Ngorongoro Kuna mji umejengwa kama Zanzibar...
  8. Zanzibar yang'aa utalii kimataifa

    Zanzibar inatarajiwa kuwa mwenyeji wa onyesho kubwa la utalii la kimataifa ambalo litafanyika kwa siku mbili tarehe 23 na 24 mwezi Febuary mwaka 2023 katka hotel ya Golden tulip uwanja wa ndenge Zanzibar. Lengo kuu la onyesho hilo ni kuhakikisha wanaifikia dunia na kuonesha zanzibar imefunguka...
  9. B

    Benki ya CRDB, VISA kuleta mapinduzi sekta ya utalii na usafirishaji kupitia kadi za kidijitali

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akifanya mazungumzo na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Visa International, Alfred Kelly kuhusu ushirikiano baina ya taasisi hizo katika kuanzisha huduma za malipo ya kidijitali katika sekta ya utalii. Mkutano huo ulifanyika...
  10. Mapato ya Utalii Zanzibar ni ya Muungano?

    Je mapato yatokanayo na utalii ZNZ yanagawanywa sawa pande zote za Muungano?
  11. Waziri wa Utalii ashauri bandari ya Dar, Zanzibar ziboreshe huduma ili kuongeza watalii

    Ushauri umetolewa kwa mamkala za bandari ya Dar es Salaam na Zanzibar kuzingatia ubora wa huduma wanazotoa ili kutengeneza mazingira mazuri ya utalii kwa kuwa kufanya hivyo kutaongeza soko la tasnia hiyo pamoja na kuongeza kipato kwa watu binafsi na Serikali kwa jumla. Ushauri huo umetolewa na...
  12. Utalii wa ndani: Kundi la watalii wa ndani wapatao 500 watembelea hifadhi ya taifa Ruaha

    Msafara wa watalii wa ndani wapatao 500 wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendegu wametembelea Hifadhi ya Taifa Ruaha iliyoko mkoani Iringa hivi karibuni kwa lengo la kuhamasisha utalii wa ndani na kuvutia wawekezaji ili wawekeze katika miundombinu ya utalii. Akiwa katika...
  13. Zoezi zima la uokoaji ajali ya Precision limetuacha uchi duniani, kuathiri sekta ya utalii nchini

    Nimejaribu kufatilia vyombo vya habari karibu vyote duniani vimeonyesha tukio hili la ajali na zoezi zima la ukoaji namna lilivyoendeshwa kijima. Binafsi naona dunia na watalii kwa ujumla wameona namna ambavyo Tanzania hatujawa tayari katika sekta nzima ya usafiri wa anga. Juhudi za Royal...
  14. Waziri wa maliasili na utalii Njoo hapa

    Waziri wa maliasili na utalii kuna ujumbe wako hapa
  15. Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Pindi Chana atembelea onesho la kimataifa la utalii la Swahili

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) ametembelea Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili lililoanza leo jijini Dar es Salaam akiwa ameambatana na Naibu Waziri wake ,Mhe. Mary Masanja(Mb). Lengo kuu la Onesho hilo ni kutangaza vivutio vya utalii vilivyoko nchini...
  16. Hatufanyi vizuri kwenye Utalii wa Picha

    Sijui kama kuna mtu hapa amewahi kuombea Mgeni (mtalii) kibali cha kupiga picha akaona ugumu uliopo? Kiujumla taratibu zilizopo sio rafiki (hazipo wazi) yaani kuna wizara sijui ngapi zinahusika hivyo kupata kibali bila maarifa ni ndoto ya mchana kwani unaweza kutumia miezi nk hivyo mgeni hawezi...
  17. Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazosifika kwa utalii duniani, ushahidi huu hapa pichani.

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kama muonavyo hapo pichani, huu ndio ukweli halisi kuwa huku nje watu wengi wamekuwa wakiifahamu nchi yetu kupitia mambo mbali mbali ya kitalii nk.
  18. SoC02 Mchango wa utalii katika maendeleo ya taifa letu. "Tuuthamini basi"

    MCHANGO WA UTALII KATIKA MAENDLEO YA TAIFA LETU. "TUUTHAMINI BASI" Utalii una mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa letu la TANZANIA, hivyo basi ni jukumu letu sote kuuthamini utalii huu ili uendelee kuleta tija ndani ya nchi yetu na katika nyanja na idara mbalimbali, kama vile, miundo...
  19. N

    Juhudi za Rais Samia zinavyoleta mageuzi ya kiuchumi katika utalii 2022. Hongereni watanzania

    Licha ya kuwa na vivutio vingi vya utalii na fukwe bora kabisa Duniani, bado sekta ya utalii haikuweza kufikia viwango vinavyotakiwa kwa kukosa Branding ya kutosha. Kuanzia Mwezi January hadi Mwezi July 2022 ongezeko la watalii limekuwa kwa 62% ambapo watalii wapatao 742,133 wameweza kutembelea...
  20. TAWA yaelezea ilivyoboresha Miundombinu kukidhi mahitaji ya Utalii

    Katika kuhakikisha mapato yatokanayo na utalii yanaongezeka, uongozi wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wananyamapori Tanzania (TAWA) umeboresha miundombinu katika maeneo ya utalii. Kaimu Kamishna wa (TAWA), Mabula Misungwi Nyanda amesema kwa kutumia fedha za bajeti ya maendeleo ya mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…