utalii

  1. SoC02 Wizara ya Maliasili na Utalii iliangalie hili katika kuchochea utalii wa ndani nchini

    Utangulizi: Awali ya yote napenda kutumia fursa hii kumpongeza "Mh: samia suluhu hassan, raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania" kwa kuonyesha upendo na mahaba makubwa kwenye sekta ya utalli nchini, kwa kuamua kwa dhati kucheza filamu ya "The Royal Tour" kwa lengo la kuhamasisha watalii waje...
  2. R

    Makamu wa Rais asisitiza mambo mbalimbali ya kuzingatia kukuza uwekezaji na kuendeleza sekta ya utalii

    Makamu wa Rais, Philip Mipango, akiwa katika hafla ya kukabidhi magari ya kukuza Utalii, Mikumi, mkoani Morogoro amesema kutokana na wingi wa utalii unaoongezeka ni muhimu kwa wawekezaji wa ndani kuwekeza katika kujenga hoteli ili watalii wasiwe wanalala kwenye mahema mbugani Aidha amezitaka...
  3. Makamu wa Rais akikabidhi magari katika Mradi wa Kukuza Utalii (REGROW), Agosti 17, 2022

    Makamu wa Rais ameshiriki wa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi Magari maalum yatakayotumika katika kuboresha Miundombinu ya Utalii yaliotolewa na Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) Mikumi mkoani Morogoro, leo Agosti 17, 2022
  4. C

    Lipia 130,000/- TU! Anza Biashara - Utalii

    Lipia 130,000/- Tu! Uaanze Biashara ya bidhaa za kitalii Unapata bidhaa hizi zote ukaanze biashara. Kwa retail price hizi bidhaa zinathamani ya zaidi 260,000/- lakini utalipia 130K Tu! Location: Iringa Delivery: All regions Call: +255 658 700 510
  5. Kwa mwezi July 2022 tu, Tanapa yakusanya mapato ya Bilioni 47 kutokana na Utalii

    Haya yamesemwa Leo na Kamishna Mkuu wa Uhifadhi TANAPA William Mwakilema huko Mbeya. Kwa mwezi mmoja tu wa July 2022 Tanzania imepokea Watalii 235,000 ambapo wamekusanya mapato ya Bilioni 47. Hizi Fedha ni nje na Fedha walizolipa watalii kwenye mahoteli na kununua bidhaa mbalimbali Kwa...
  6. Maktaba ya Utalii

    Utalii wa Majini Miongoni mwa maeneo ambayo utaweza kufanya utalii wa majini na nchi kavu basi hifadhi ya taifa Saadan ni miongoni mwa hifadhi ambayo inaweza kukupatia utalii wa aina iyo. Hifadhi hii ipo mkoa wa Tanga nchini Tanzania. Ni hifadhi ambayo utafahamu mambo mbali mbali yanayohusiana...
  7. Miundombinu ya Arusha na Moshi inaleta aibu katika soko zima la utalii na uwekezaji

    Katika kipindi hichi cha mwezi wa sita hadi mwishoni mwa mwaka tumeshuhudia kabisa idadi ya watalii ilivo kubwa na inazidi ikiongezeka kadri siku zinavyozidi kwenda katika miji hii miwili ya kitalii. Ni aibu kwa mji wa kitalii kama Arusha na Moshi kuwa na aina ya masoko na vituo vya mabasi...
  8. Njombe: Wananchi washauriwa kutumia baridi kama Utalii wa ndani

    Kiongozi mmoja sijamkata jina na cheo huko Njombe ameongea (nimemuona kwenye taarifa ya habari ITV) akiwashauri wananchi kutumia baridi kama kivutio cha utalii wa ndani. Baridi linaloendelea limetajwa kuathiri afya za watu na mazao. Nimonia kwa watu na ukungu kwa mazao ni kati ya magonjwa...
  9. Mother Nature ni kivutio kikubwa cha utalii huko Karura Forest, Kenya

  10. Operesheni ua utalii Tanzania

    Ni mchezo mchafu unaoratibiwa na washindani wa utalii wa Tanzania kwa ufanisi mkubwa kutumia watanzania wenyewe kupitia upotoshwaji kuhusu mazoezi mawili tofauti LOLIONDO na NGORONGORO. Wanapotosha makusudi huku wakijua kuwa hakuna mtu hata mmoja aliyehamishwa Loliondo kwa kuwa kinachofanyika...
  11. Halima Mdee: Tusifikirie kimasikini, ndege binafsi sio anasa

    Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee ameshauri Serikali kupunguza kodi katika ndege zinazotumika kwa utalii Nchini akisema inatakiwa kushuka na ikiwezekena ifike hatua kumiliki ndege binafsi liwe jambo la kawaida. “Kamati imesema ndege za kukodi zimepungua kutoka 200 hadi 105, ifike kipindi...
  12. Kwanini hatuwezi kufanya utalii Ikulu?

    Wenzetu Marekani huwa wananchi wanatembelea Ikuluya White House kama sehemu ya utalii wa ndani. Hupiga picha, huonyeshwa mambo mbalimbali japo yale classified huwa yanabaki kuwa siri kama inavyotakikana. Kwanini sisi hatuna kitu kama hiki?
  13. Tanzania Royal Tour ilivyoudumaza utalii wa Kenya

    Royal Tour itatupa faida gani ile movie ya kazi gani? Haya ndiyo maneno yaliyojaa kinywani kwa wanaharakati wa Tanzanaia kujaribu kufifisha Juhudi za Rais Samia suluhu Hassan. Sisi tuliozaliwa kwenye mazingira ya utalii tuliona na kufahamu kuwa sekta ya utalii ililala usingizi wa pono. Moja...
  14. M

    Serikali iwe makini na suala la Ngorongoro. Tunaweza tukaharibu umuhimu wa kufanya filamu ya Royal Tour na tukaathiri sekta ya utalii

    Serikali kuweni makini sana na Hili Jambo.Mimi kama mwana CCM na Mtanzania,naweza kusema hili jambo mlimalize kwa ustaarabu Mkubwa. Mnaweza mkawapa maadui wetu kutusemea vibaya,na mwishoe Watalii wakaogopa Kuja Tanzania.Serikalini kuweni makini sana nawahusia. Tumetumia gharama kufanya Filamu...
  15. H

    Haya ni Matunda ya filamu ya Royal Tour ndani ya Miezi miwili pekee tu, kwa hili Mama aliupiga mwingi

    "Ni Matunda ya filamu ya royal tour ndani ya Miezi miwili pekee tu! Watalii wafurika Tanzania". Ikiwa ni baada ya Miezi miwili tu tangu filamu maalumu ya royal tour iliyomuhusisha rais was jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kutambulishwa rasimi nchini marekani na baadae...
  16. Tusipinge Simba na Yanga kupokea na kushangilia timu za kigeni bali tuboreshe ili kutengeneza utalii wa michezo ( Sport tourism)

    ➡️ Kwa muda mrefu wadau wahafidhina wa michezo hapa nchini wamekuwa wanakereka na tabia iliyoota mizozi ya Simba na Yanga kupokea na kushangilia timu za nchi nyingine zinazokuja kucheza na timu mojawapo kwa kusema kuwa wanakosa uzalendo ➡️ Jambo hili wamepambana nalo na limeshindikana kwa...
  17. Je, Usafirishaji wa Wanyama nje ya nchi itachangia ongezeko la Watalii au tunaenda kuua soko la Utalii ndani ya nchi?

    Wizara ya utalii imetoa tamko la serikali kuondoa zuio la kusafirisha wanyama nje ya nchi katika mashamba yaliyokuwa na vibali maalumu ya kusafirisha wanyama hao nje ya nchi. Je, unadhani hii itachangia watalii wengi kuja nchini kwajili ya kuwekeza katika mashamba ya umiliki wa wanyama na...
  18. Mapepo Mabaya dhidi ya Wamaasai ndani ya Wizara ya Maliasili na Utalii Yakamewe

    Kuna hila mbaya sana zinaendelea dhidi ya Wafugaji wa Kimaasai yanayofanyika ndani ya Wizara ya MaliAsili na Utalii. Hila hizo zinafanyika kupitia taasisi za serikali iliyo chini ya wizara hiyo. Taasisi hiyo ni Wakala wa Misitu(TFS), Idara ya Wanayama pori na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro...
  19. Dodoma: Nangasu Werema, Bajeti ya Wizara ya Utalii 2022/2023, ni bajeti bora. Tujiandae kupokea Watalii

    Balozi wa utalii nchini Tanzania Nangasu werema, amesifia. Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii 2022/2023 ilisomwa na Waziri mwenye dhamana Balozi Dkt Pindi Hazara Chana Leo Bungeni Dodoma,ambapo amesema Serikali ya Awamu ya Sita imeleta bajeti bora zaidi inayojibu na kutatua matatizo...
  20. BUNGENI: Wizara ya Utalii yaomba kuidhinishiwa Bajeti ya Bilioni 624 Mwaka 2022/23

    Kwa mwaka wa Fedha 2022/23, Waziri wa Utalii, Dkt. Pindi Chana ameomba Bunge kuidhinishia Wizara hiyo Bajeti ya Tsh. 624,142,732,000 ambapo Bilioni 443.7 zimeelekezwa katika Miradi ya Maendeleo na Bilioni 180.4 ni kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida Amesema Sekta hiyo imekuwa na changamoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…