Habari zenu Ndugu zangu?
Kuna jambo huwa linanitatiza sana. Mtu anaweza kuwa na uwezo wa kumsaidia mwenzake anayepitia wakati mgumu, lakini akaamua kukaa kimya kana kwamba tatizo hilo halimhusu.
Mgonjwa anakosa matibabu, mtoto anakosa mahitaji muhimu, kijana anashindwa kusoma kwa kukosa ada...