uzoefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwenye uzoefu wa kusafirisha mizigo kwa njia ya meli

    Habari wakuu, Nimekuwa mzoefu kidogo kuagiza vitu kwa njia ya air kupitia makampuni mbalimbali. Kwa leo nahitaji mwenye uzoefu wa njia ya meli. Maana mizigo ya ndege inaenda kwa uzito. Ila ya meli wanatumia cubic meters. Naombeni ndondo zake.
  2. Uzoefu na ugeni katika mapenzi ulivyosababisha kula kitumbua kwa shida au kutokula kabisa

    Ilikuwa Ni siku ya weekend jumosi Siku ilikuwa na hali ya hewa tulivu kama Dalili ya mvua kunyesha. Niliamka asubuhi na mapema nikafanya usafi wa mwili na mazingira, Nikanywa chai nzito, nikaenda Chumbani nikachukua kitabu nisome ili nijiliwaze na kupoteza mawazo ya ahadi ya tunda tuliyo wekeana...
  3. "AUCTION HOUSE JAPAN'' Naomba uzoefu wenu kuhusu huu mtandao wa kuuza magari japan

    Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na hao jamaa wa AHJ nikaona offer zao sio mbaya sana, sasa wadau wa kuagiza magari, naomba 123 kuhusu huu mtandao.
  4. Tubadilishane uzoefu: Unawasaidiaje vibaka wa maeneo ulipo kuwa raia wema?

    Kama kichwa cha mada kinavyo jieleza tubadilishane uzoefu kuhusu hilo. Kwa upande wangu hujichanganya nao na kupiga nao stori mbili tatu lengo ni kujua misimamo yako na maisha yao ya baadae pia kutambua ambao hawapendi ukibaka bali kuna msukumo unao wapelekea kuwa hivyo Kisha huwaweka pamoja...
  5. Mchango na uzoefu wenu kwenye Discovery 4 5.0L V8 (Mawazo)

    Kuna jamaa mwamba wangu amenipa sugestion ya hii chuma katika kusakanya mkangafu wa kutunishiana misuri rodini huko.. toka jana nimekua na google nacheki youtube kuhusu hii chuma.. Mie ni mpenzi wa sedan ila huku mikoani ambapo nahamia kubaya sana kila siku kuna uwezekano wa kung'oa au bumper...
  6. Kuna mwenye uzoefu wa kudate na mwanamke Engineer humu?

    Naje wazee? Aisee,kuna mdada ni engineer tuko nae kwenye mahusiano huu mwezi wa pili lakini dezaini flani kama sizisomi pigo zake.huyu manzi ni engineer by profession ila yuko busy balaa, inaweza ikapita hata week nzima hapatikani ukimuuliza anasema alikua site porini huko kwenye project na...
  7. Umeshawahi kukutana na mtu aliyepandisha jini/ mwenye majini? Tupe uzoefu wako

    Nakumbuka miaka ya nyuma kulikiwa na mkuu wa mkoa mwanamke jijini Dar es Salaam. Huyu mama hakuwa mwingine ila Mary Chipungahelo au waweza mama Chips. Huyu mama alikuwa ni mbabe haswa, asiyeyumbishwa wala kuburuzwa wala kupelekeshwa. Ameshawahi kumzingua kichizi Jenerali Ulimwengu. Basi...
  8. J

    Wenye uzoefu

    Wale mliokataliwa kwanza halfu baadae mkakubaliwa tupeni experience zenu. Unakuta unampenda demu. Ukimtongoza anasema yeye ana mahusiano . what should be next. Uendelee kuinsist ama uchomoe!
  9. Kwa wale tulio onja bulgur, tubadilishane uzoefu

    Kwanza niwatakie maandalizi mema ya sikukuu za Christmas na mwaka mpya. Wakati nachakata mipango ya mjini, nimewaza bulgur. Hii kitu walikua wanapewa watoto wa chekechea, kwa baadhi ya shule za chekechea jinini Dar es Salaam. Uji au chakula kilichopikwa na bulgur Hii ni mwanzoni mwa miaka ya...
  10. M

    Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  11. Waliojenga mwaka 2021 tunaomba uzoefu wenu

    Heshima sana wakuu, Tumshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kutupatia uhai mpaka sasa tunapoelekea kuukamilisha mwaka 2021. Najua kwamba wapo wengi walitamani kuanza ujenzi wa nyumba zao na ni ukweli usiopingika kwamba baadhi yao wameweza kuanza ujenzi, wapo walioishia katikati, wengine...
  12. Naombeni uzoefu kuhusu Wilaya ya Bagamoyo

    Naomba kufahamu kuhusu Bagamoyo kwa ujumla wake. Yaani chochote kuhusu Bagamoyo, mfano: Tamaduni za watu Life style ya watu wa huku Uuzaji wa Ardhi ama viwanja ama mashamba Kuhusu Kilimo Elimu Mwamko wa ki elimu ama ki Maendeleo Kwa raia waishio huku Kabila waishio huku Vyakula Gharama za...
  13. Uzoefu dhidi ya Shahada

  14. Mtazamo: Simba SC Wamekosea Kuajiri Kocha Asiye na Uzoefu wa Soka la Afrika.

    Sote tumeona aina ya Kocha ambaye ameajiriwa na Simba SC. Kocha ambaye amechukua nafasi ya Didier Gomes. Tukiamua kutumia jicho la tatu la kiuchambuzi kila anakubariana na mimi kuwa Simba SC inaenda kupitia changamoto nyingine ya kibahati nasibu. Uzoefu:- Yes anauzoefu wa kufundisha katika...
  15. Tanzania haina uzoefu wa kuwa nchi ndiyo maana mambo mengi hayana 'consistence ya kitaifa'

    Kumradhi kwa kila mtu naomba nisionekane nimetukana ila huu ni mtazamo wangu tu. Kila kitu ni uzoefu. I mean kila kitu ili kifanyike kwa usahihi mkubwa panahitajika uzoefu. Hii ni law of nature in doing things. Watu wengi hulalamika kuhusu mwenendo wa Tanzania kisiasa, kielimu, nk. Watu...
  16. Gari aina ya Mazda Verisa

    Wanajamvi Mwenye Uzoefu na Gari aina ya Mazda Verisa naomba Msaada wake.Asante
  17. F

    Dereva wa mtandaoni mwenye uzoefu nahitaji gari

    Bila longo longo naitwa Vitalis nina uzoefu wa miaka mi 2 nahitaji gari ya mkataba au hesabu iwe imesajiliwa kwa biashara ili tusileteane vipengele vingi na maneno mengi, nina akaunti ziko active na leseni daraja C , napatikana tabata segerea mawasiliano yangu ni 0679822712 Gari iwe sienta...
  18. R

    Naomba msaada kwa wenye uzoefu mikopo ya Azania bank kwa wanachama wa NSSF

    Wakuu nawasalimu. Naomba kama Kuna mtu ana uelewa na Hili anisaidie. Azania bank wanatoa mikopo kwa wanachama wa NSSF. Kama mtu aliachishwa kazi kipindi cha janga la Corona kwa sababu kampuni iliamua kupunguza wafanyakazi na hakutoa mafao yake NSSF na ameamua kutokuajiriwa tena anaweza kupata...
  19. B

    Uzoefu wa Zanzibar 2020 - Tuna ya Kujifunza, yatasaidia kwa Ukombozi

    Kumtemesha mtu tonge mdomoni au haki za watu anazo hodhi haijawahi kuwa bila mpambano. Maridhiano hayawezi kutokea mitandaoni. Tunayo ya kujifunza kutokea Zanzibar walikofanikiwa kuionja tamu na chungu ya maridhiano: Shikamoo Zanzibar. Ama kweli tuna mengi ya kujifunza kwako. Pumzika kwa...
  20. Uzoefu wa matumizi ya gesi kwenye gari

    Wajuzi wa mambo hapa naomba msaada wenu wa uzoefu, ninataka kufunga mfumo wa gesi kwenye TOYOTA - IST. Naomba kujua nitegemee kupata shida gani kwenye hiyo gari mi nachojua ni kuwa nita-save matumizi ya mafuta, naomba mnipe tahadhari ili nijue kama niendelee na huu mchakato au niachane nao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…