Rafiki yangu anaefanya biashara ya wakala wa pesa mtandao yaani Mobile Banking. Mpesa, TigoPesa, Airtel Money n.k, amenipigia simu asubuhi hii na kunijulisha kuwa, Wameibiwa usiku wa kuamkia leo. Maduka matatu yaliopo eneo moja yote yamefunguliwa na kuibiwa kila kitu.
Eneo lenyewe liko Manzese...