Maambukizi ya COVID-19 yamezidi kuongezeka nchini Kenya baada ya kutangaza maambukizi mapya 1,006 yaliyorekodiwa saa 24 zilizopita na kufanya jumla ya maambukizi kuwa 199,941
Aidha wameripoti vifo 13 na kufanya idadi ya vifo kufikia 3,895. Aidha idadi ya waliopona imefikia 187,824. Huku 1,386...