viongozi wa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania UNGA 81: Masuala muhimu ambayo ujumbe wa kiongozi wa Tanzania na wenzie wa dunia watashughulikia katika Mkutano Mkuu wa UN 2026

    21 September 2026 Makao Makuu UN New York UNGA 81: Masuala muhimu ambayo ujumbe wa kiongozi wa Tanzania na viongozi wa dunia watashughulikia katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa 2026 Umakini wa dunia utaelekezwa New York wiki hii huku marais, mawaziri wakuu, wanadiplomasia na maafisa...
  2. JamiiForums Tanzania Imihigo: Mfumo wa Kuwawajibisha Viongozi wa Tanzania

    Umewahi kujiuliza kwanini miradi mingi mtaani kwetukama barabara, ujenzi wa madarasa, au usambazaji wa umeme na maji inachelewa sana, alafu kiongozi aliyefeli anahamishwa tu kituo cha kazi badala ya kuwajibishwa? Kule jirani zetu Rwanda kuna mfumo wa kijasusi wa utendaji kazi unaitwa Imihigo...
  3. JamiiForums Tanzania Hawa Manabii wa Kenya Wana Nini na Viongozi wa Tanzania?!, Kitendo cha Nabii wa Kenya Kumtaka Rais Wetu Atubu kwa ya Oct. 29, Sio Dharau?

    Wanabodi Hili ni bandiko la swali, japo Mungu ni mmoja, na Tanzania tuna manabii wetu na Kenya wana nanabii wao, iweje Mungu anaongea sana na manabii wa jirani zetu Kenya na kuwapa unabii kuhusu Tanzania, kuliko na manabii wa Tanzania?. Wana Nini na Viongozi wa Tanzania?!, Kitendo cha Nabii wa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Tanzania wanapenda ku-appear kwenye media, halafu hawapendi maoni ya wananchi kuwahusu? Je, hawajui wao ni mali ya umma?

    Viongozi ni mali ya umma. Kama wanapenda kuonekana videoni, ni kwanini iwe nongwa kusema chochote kumuhusu, baada ya wewe kumuona kideoni? Kiongozi ukishaonekana kwenye video ni sawa na msanii katoa wimbo mpya, lazima tutataka kukosoa au kupongeza namna utavyocheza ukiwa unaonekana kwenye...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkurugenzi wa Haki za Binadamu UN leo anatarajia kupendekeza vikwazo kwa viongozi wa Tanzania

    GEVEVA: UN Human Rights Chief Volker Turk will hold a press conference on 10 December, at 10:30am CET, addressing human rights challenges around the world. Mtakumbuka 11 November 2025 Turk alisema, Tanzania Election-related killings and other violations must be investigated - Volker Türk...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya viongozi wa Tanzania wa wanakana biashara zao? Sioni tatizo kiongozi kufanya biashara halali

    Kumezuka mtindo wa viongozi wa TANZANIA kukana biashara zao hadharani na kujifanya hawana biashara ati wanategemea mshahara wa serikali Mtu hawezi kuishi Kwa mshahara tu hata ungekuwa kiasi Gani Sio dhambi kiongozi hata Rais kuwa na biashara zake halali na zikatambulika na kulipa kodi TRA...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nashauri nchi za ulaya zitaifishe mali za viongozi wa Tanzania kufidia madeni ya nje

    Kama nchi za nje wameweza kuzuia misaada kwa serikali tu bila mashirika kuguswa basi nchi hizo zitusaidie kuwabana viongozi kulipa mikopo wanayokopa kwao na kuishia mifukoni mwa viongozi. Hii inaweza kufanyika kwa kuutaifisha na kuuza mali zao au kwa kukamata akaunti zao
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nchi ina viongozi wasio na aibu wala hofu ya Mungu

    Wakuu Hii nchi sasa inaongozwa na viongozi wasio na aibu wala hofu ya Mungu. kama wanazo akili basi wanalazimika kuziacha nyumbani ili wamfurahishe mkuu wao. Kwanza nimemsikiliza Gerson yan ni utumbo mtupu kaongea yani unawapongeza waandishi wa habari kwa kuandika habar za kusifia tuu nchi yao...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania wamejisahau kabisa kuwa kuna watu wengine wanahitaji maisha bora kama yao

    Tabia ya viongozi wa nchi hii kujiona wao ndiyo bora na ndiyo wanastahili kuishi maisha bora kuliko watu wao iko siku itawagharimu. Wanaishi maisha kifahari,wanaiba ,wanajisikia,waongo,ujanjaujanja,nk kwa sasa wanakoelekra ni kubaya kwani watu wanaelekea kichoka. Raia wa kawaida wanamaisha...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Tanzania hawana kabisa utamaduni wa Kustaafu?

    Ni ama hawajui Falsafa nzima ya Utumishi wa Umma au ni kitu gani lakini?! Mtu anafika top rank ya kitaifa anastaafu halafu anarudi tena kwa madai ya kuingia siasani Vijana wetu watafanya kazi gani sasa kama mtu anakula pension na Mshahara kwa wakati mmoja Ahsanteni sana 😁 Nawatakia...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya No Reform No Elections iendane na kuyasihi mataifa yaliyoendela kuwawekea vikwazo viongozi wa Tanzania kwa ukiukwaji wa haki za wapinzani

    Mimi nadhani ni jambo la msingi kwa Chadema kuanza kukutana na wawakilishi wa mataifa ya kigeni, hususa za magharibu, na kuwatumia kuwashnikza viongozi wa Tanzania kufanya mabadiliko ya taratibu za uchaguzi na kuacha ukiukwaji wa haki za msingi za wanasiasa wa upinzani nchini. Kama ambavyo...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania, endeleeni kucheza kamari na mali zenu, ya Zelensky hayapo mbali

    Trump anawakilisha hisia za wamarekani wengi. Hakuna atakaemuua Trump as many believe. Trump strategy ni kila nchi isimamie resources zake na kuzibadilisha kuwa fedha. Kuacha ujinga na focus na nchi yako. Kwa nyie ambao mnauza bandari huku hakuna kilichobadilika kwenye operation za bandari...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Tanzania wanapenda ziara za nje kuliko hata raia wake?

    Hii ndiyo tabia ya viongozi wetu kupenda kusafiri, kuiona dunia. Yaani hata wanatafutiwa Ndege kwa ajili ya safari tu! Hiyo ni kazi ya maendeleo ya Taifa? Wakati MV Bukoba inazama mwaka 1996, waziri mkuu wa Taznzania Ndg. Sumaye alikuwa ziarani Kusini mwa Afrika. Ikatangazwa ni janga la...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025

    Baada ya kuwasikiliza wakazi na viongozi hawa wa tarafa ya Ngorongoro, nimegundua yafuatayo: 1. Kuna agenda mbaya ya siri dhidi ya Wamasai hawa wa Ngorongoro inayofanywa na serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Wanaiuza ardhi ya Ngorongoro kwa waarabu? 2. Kumbe wakazi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili Viongozi wa Tanzania wapunguze Magari kwenye misafara yao? Ni aibu

    Salaam Wakuu, Ni aibu kubwa mbele ya Dunia kuna Misafara ya Viongozi wa Tanzania inavyokuwa Mikubwa. Magari Zaidi ya 300 yanamfuata Mtu Mmoja tu. Magari ya Ulinzi sina tatizo nalo, ila magari ya Watu eti Waziri, Katibu, Mkurugenzi Mkuu wa Mkoa na Wilaya, IGP, nk wote kila mtu anaenda na gari...
  16. JamiiForums Tanzania Wakenya wanawapa viongozi wa Tanzania ujumbe.

    Maandamano yanayoendelea nchini Kenya, binafsi hayajanivutia kwa sababu hayana lengo linaloeleweka. Uharibifu unaofanywa na waandamanaji kama kuiba na kupora Mali za watu hii inaonyesha maandamano hayo hayana lengo. Ilianza na kutaka budget irekebishwe kwa kile walichodai maisha magumu...
  17. JamiiForums Tanzania Nyakati fulani taifa huwa linapitia kipindi kigumu sana

    Nimekumbuka tu zamani dah...wasomi na wenye mamlaka kubadilika na kuchukua nafasi za kina joti.
  18. JamiiForums Tanzania Kiwango cha Viongozi kutowasikiliza Wananchi kiko juu kwa Tanzania kuliko Kenya

    Ni basi tu Wakenya wamepinda kama Wazulu wa South Affruca ila unapo kuja kuangalia kiwango cha Viongozi kuwasikiliza wananchi, basi Kenya kuna unafuu ukilinganisha na Tanzania, shida iko tu kwamba Tanzania ni mazeseta basi. Viongozi wamejawa sana na Viburi na Dharau sana n kebehi, nakumbuka...
  19. JamiiForums Tanzania Je, tunahitaji viongozi wa aina gani? Wajinga, Zero Brain wachapakazi wanao deliver, au Wasomi wa Vyeti na Makaratasi, ila mangimeza Wasio Deliver?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali. Kufuatia mahojiano ya jana, kwenye Star TV, imethibitishwa pasi shaka kuwa ni kweli muhojiwa hana vyeti vya elimu zaidi ya cheti cha darasa la saba tuu ndicho chenye jina lake alilopewa na wazazi wake pale alipozaliwa kijijini Kolomije na kuandikishwa Shule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…