BEFORE I GO TO SLEEP.
Christine anapoamka asubuhi, anashangaa yupo mahali asipopafahamu na pembeni yake amelala mwanaume asiyemjua.
Anajaribu kuvuta picha lakini hamna kinachokuja kichwani.
Anaenda bafuni, humo anakutana na picha kadhaa ukutani, picha akiwa pamoja na bwana yule alomwacha...