Ndio umuhimu wa kuwa na elimu bora na wachapa kazi, wanang'ang'aniwa kote, mara UK, mara Dubai, ukizingatia diaspora wetu wanatuma hela nyumbani kuzidi mataifa yote ukanda huu, vyuo vyetu vinazidi kuzalisha vichwa na akili kubwa. Waende tu wakapate maujuzi zaidi ili wakirudi wawekeze nyumbani...