Kinachoendelea ulimwenguni kwa sasa sio cha kawaida. Kuanzia mwaka 2000 kumekuwa na speed kubwa ya matukio ya kutisha ulimwenguni.
Wote tumeshuhudia Vita, magonjwa, na Mambo mengi ya kutisha. Je unajua maana ya hayo yote? Kama hujui, jibu ni hili hapa.
Ukweli ni kwa tunaelekea Vita vya tatu...