Ukiondoa wazee ambao wanadhani nchi bila CCM itazuka vita wengine wote ndani ya CCM wanafuata au wanalinda maslahi yao

Ukiondoa wazee ambao wanadhani nchi bila CCM itazuka vita wengine wote ndani ya CCM wanafuata au wanalinda maslahi yao

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Hili liko wazi kabisa.
Wana CCM halisi ni wazee wale waliokosa elimu ya jamii ya kutosha.
Wale wazee waliokosa/ kunyimwa elimu wanadhani amani ni CCM na siku wapinzani wakichukua nchi watashika bunduki na mabomu na kuanza kuua wananchi.
Wengine wote ndani ya CCM wapo kutafuta ugali au kulinda biashara zao zisisumbuliwe na mamlaka.
Wengine wana kadi ili kuvizia vi buku 10 vya rushwa kipindi cha uchaguzi.
Kwa ufupi Watanzania kazi wanayo.
 
Back
Top Bottom