gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Ndani ya wiki moja baada ya kusitisha mapigano, israel imepokea zaidi ya tani 800 za silaha toka marekani, ujerumani na nchi za magharibi,bila shaka na makombora ya udunguaji ya iron dome
Pakiwa na taarifa kwamba awamu ya pili ya mashambulizi itakua mzito zaidi na kuenea zaidi ndani ya iran
Iran nayo,toka ndani ya vyumba vya vita inadai kuna kitu kinakuja
Wakati huohuo houthi wameandikisha wapiganaji wapya zaidi ya elfu 80
Duru zinaarifu wanataka kuangusha dola ya kiislam na kuigawa Iran wakiyatenga majimbo tajiri ya mafuta kwa mtindo wa Libya,wakati utasema