Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 7,696
- 15,984
Kinuke,sahivi akuna cha cease fire ni mpaka mtu ateme bungo.🤸🤸🤸
Never..kwanza hiyo kambi ya magharibi nguvu zimepungua, Putin anazidi kuibeba ukraine,kishachukua mgodi wa pili Kati ya minne ya madini adimu, wakati huohuo ukraine ana upungufu wa askaribaada ya hapo kuindondosha urusi ya putin
Telaviv kama Gaza, wateule wakikimbia nchi ya ahadiKinuke,sahivi akuna cha cease fire ni mpaka mtu ateme bungo.🤸🤸🤸
Vijana waliniuma sana. Kama yule mmoja anaomba msamaha lakini wanammiminia shaba tu.Nikikumbuka vifo vya vijana wetu wawili kupitia wale magaidi, mimi nasimama na Israel kukomesha hao Iran ambao ni wafadhili wakuu wa ugaidi duniani.
Cha muhimu akuna mtu kuomba kusitisha vita,mtoto akililia wembe mpe.Telaviv kama Gaza, wateule wakikimbia nchi ya ahadi
Hawa mmbwa wauliwe tu...Nikikumbuka vifo vya vijana wetu wawili kupitia wale magaidi, mimi nasimama na Israel kukomesha hao Iran ambao ni wafadhili wakuu wa ugaidi duniani.
Typical muslimin narratives...wacha kuhadaika oct7 ulikuwa mchongo wa wayahudi wenyewe,unaenda kukaa nchi ya mashetani,waasherati lazma ufe kindezi
Mi shabiki wa Iran ila aliniudhi kukubali cease fire. Ilitakiwa apige haswa maana adui alikuwa amezidiwa. Sasa amejipanga haswa. Iran inaweza kuanguka. Ngoja tuoneKipindi unaropoka hivyo kumbuka chanzo ni Israel hao hao walianzisha vurugu.
Wewe kuunga kwako mkono hakuondoi ukweli kuwa Hamas walikua wakipambania ardhi yao.
Matakwa ama shauku zako binafsi ni nonsense.
Kila nkitazama ile video nashikwa na hasira kali saana.Vijana waliniuma sana. Kama yule mmoja anaomba msamaha lakini wanammiminia shaba tu.
Inasikitisha
Time will Teri haaaaa wafuasi wa israelBila kuiona roho ya huyo babu inatoka mwili Israel hakutopoa yaani wapo tayari kwa lolote time will teri