Awamu ya pili vita israel na Iran inanukia

Awamu ya pili vita israel na Iran inanukia

Shida kubwa uwezo wa kufikiri Ulokole sawa na nusu mento

1Embu nijibu wa Tanzania walienda Palestina au Israel ??

mwenye dhamana ya Usalama wao awa wa Tanzania ni nani Palestina au Usrael ??

kwaiyo ninani tulitakiwa kumdai awa ndugu zetu ??
Uislam usiondoe utanzania, hao kisa wameuawa na magaidi ya Kiislam then unaona ni sawa tuu. Hao walienda Israel kusoma. By the way, Hakuna nchi inaitwa Palestina as of now.
 
Kwasasa tukisikia Houth wamepiga Israek ujue wanalenga iyo mizigo mjpya inayopelekwa !!

waisrael bado wanaondoka kwa wingi sana ikiwa Vita mpya itatokea kuna uwezekano Israel imeona ife na Iran..!!

mana Iran ndio mratibu wa mazishi ya nchi ya mchongo inayoitwa Israel mwaka huu yetu macho..

pia kunauwezekana Saudia Arabia Jordan na Bahrain UAE zikaanguka na mashariki ya kati inaenda kwenye Vita vyake vya kilele. MAREKANI inaenda kupotea upya eneo ilo...
 
Uislam usiondoe utanzania, hao kisa wameuawa na magaidi ya Kiislam then unaona ni sawa tuu. Hao walienda Israel kusoma. By the way, Hakuna nchi inaitwa Palestina as of now.
Kwaiyo tunapaswa kudai wapi ndugu zetu???

Mana wa TZ walienda kwa Magaid wakapokewa uko??
 
Nikikumbuka vifo vya vijana wetu wawili kupitia wale magaidi, mimi nasimama na Israel kukomesha hao Iran ambao ni wafadhili wakuu wa ugaidi duniani.
Nyie ndio wale misukule ya Marekani na Uingereza mnaolishwa matango pori

Irani angekuwa anavisaidia hivyo vikundi vya wanamgambo si angewapa Hypersonic missile ambazo Israel hawana uwezo wa kuzizuia?
 
SHERIA mnazijua kweli au vichwa ndio vimejaaa ulokole amjui ndugu kaenda wapi ayo mengine sisi ayatuusu ndugu yetu kafikia Israel ,,
 
Houthi wataingiaje israel kwa maana Yemen ipo mbali sana na Israel
Karibu sana hapo,hawavai gwanda wakati wa kwenda,pia wanaweza enda Iran,wakapitia Iraq, Syria ambako usalama hohehahe, Lebanon kwa hizbullah,kitu ndani
 
Telaviv kama Gaza, wateule wakikimbia nchi ya ahadi
Unaambiwa Iran hakujatokea chochote.Kumbe hata ilemidege tuliyoambiwa imeenda Iran tumepigwa kamba! Mazayuni yamechapika na muajemi hayana hamu.
Netanyahu anaishi kwa kudra za Ayatollah ila makamanda wake wote wamefyekwa!
Muajemi hajapoteza hata mwenyekiti wa mtaa mabomu ya mazayuni yalikuwa yanadunguliwa na majini ya muajemi
Takbiiiiiir!
 
Kwasasa tukisikia Houth wamepiga Israek ujue wanalenga iyo mizigo mjpya inayopelekwa !!

waisrael bado wanaondoka kwa wingi sana ikiwa Vita mpya itatokea kuna uwezekano Israel imeona ife na Iran..!!

mana Iran ndio mratibu wa mazishi ya nchi ya mchongo inayoitwa Israel mwaka huu yetu macho..

pia kunauwezekana Saudia Arabia Jordan na Bahrain UAE zikaanguka na mashariki ya kati inaenda kwenye Vita vyake vya kilele. MAREKANI inaenda kupotea upya eneo ilo...
Hadi sasa Iran 10 - Israel 0
Allahu akbaru!
 
Yahudi kihistoria ni manipulative! Sio kwa bahati mbaya jamii nyingi zilishindwa kuishi nao na kuamua kujaribu kuwamaliza!

Usiamini neno lolote la Yahudi! Ni hayawani wasiokuwa na daraja!

Hao US wanaotumikishwa sasa hivi kama punda siku itafika akili itawaingia!
Wayahudi kama wapemba ukiangalia wao tu
 
shida ni kwamba ayatollah hana shukrani ametetea na Trump asiuliwe na Israel anajisifu ameshinda vita
Ayatollah anaanbiwa toka shimoni huko vita nje imesitishwa haamini mpaka leo bado yuko mapangoni, anajirekodi na kurush viclip vyake vya kishujaa akiwa amejificha. Uhai sio mchezo.
 
Watu wanakufa vibaya mno, huko Gaza tu zaidi ya watoto 17,400 wamekufa. Inasikitisha sana ndoto za watoto wote hao zimeondoka.
 
Back
Top Bottom