Walikwenda Israel kwa mafunzo zaidi ya kilimo, walipelekwa na serikali ya Jamuhuri ya muungano ya Tanzania.Walikufa wakiwa wapi?
shida ni kwamba ayatollah hana shukrani ametetea na Trump asiuliwe na Israel anajisifu ameshinda vitaNdani ya wiki moja baada ya kusitisha mapigano, israel imepokea zaidi ya tani 800 za silaha toka marekani, ujerumani na nchi za magharibi,bila shaka na makombora ya udunguaji ya iron dome
Pakiwa na taarifa kwamba awamu ya pili ya mashambulizi itakua mzito zaidi na kuenea zaidi ndani ya iran
Iran nayo,toka ndani ya vyumba vya vita inadai kuna kitu kinakuja
Wakati huohuo houthi wameandikisha wapiganaji wapya zaidi ya elfu 80
Duru zinaarifu wanataka kuangusha dola ya kiislam na kuigawa Iran wakiyatenga majimbo tajiri ya mafuta kwa mtindo wa Libya,wakati utasema
hata kama wanapambania ardhi yao wale vijana wakitanzania waliwakosea Nini?wewe mfia dini naona dini imekupofuaKipindi unaropoka hivyo kumbuka chanzo ni Israel hao hao walianzisha vurugu.
Wewe kuunga kwako mkono hakuondoi ukweli kuwa Hamas walikua wakipambania ardhi yao.
Matakwa ama shauku zako binafsi ni nonsense.
vipi jana hujaona mizoga ya majenerali na wanasayansi wanazikwa huko TeheranTelaviv kama Gaza, wateule wakikimbia nchi ya ahadi
Ndio maana nikisikia magaidi wameangamizwa huko ghaza nafarijika kuona damu ya Watanzania wenzetu ikilipwa.Vijana waliniuma sana. Kama yule mmoja anaomba msamaha lakini wanammiminia shaba tu.
Inasikitisha
Cha muhimu akuna mtu kuomba kusitisha vita,mtoto akililia wembe mpe.
Iran alifanya kosa kusimamisha vita hawa USA na Israel walikuwa wameisha zidiwa, sa wameisha mpelekea silaha Israel za kutosha watamuambia anzisha tena vita. Trump ni muongo sana hawezi kuwa upande wa Iran hata siku moja ana damu ya Kiyahudi yule.Ndani ya wiki moja baada ya kusitisha mapigano, israel imepokea zaidi ya tani 800 za silaha toka marekani, ujerumani na nchi za magharibi,bila shaka na makombora ya udunguaji ya iron dome
Pakiwa na taarifa kwamba awamu ya pili ya mashambulizi itakua mzito zaidi na kuenea zaidi ndani ya iran
Iran nayo,toka ndani ya vyumba vya vita inadai kuna kitu kinakuja
Wakati huohuo houthi wameandikisha wapiganaji wapya zaidi ya elfu 80
Duru zinaarifu wanataka kuangusha dola ya kiislam na kuigawa Iran wakiyatenga majimbo tajiri ya mafuta kwa mtindo wa Libya,wakati utasema
Hayo majamaa hayanaga akili na ndo maana Yahudi huwa hacheki nao ni kupiga kila kitu hadi paka wao...Vijana waliniuma sana. Kama yule mmoja anaomba msamaha lakini wanammiminia shaba tu.
Inasikitisha
Utakuwa na kichaa sio bure yaani USA azidiwe na Iran? Punguzeni mihemko ya kijinga tumieni akili hata za kuvukia barabara...Iran alifanya kosa kusimamisha vita hawa USA na Israel walikuwa wameisha zidiwa, sa wameisha mpelejea silaha Usrael za kutosha watamuambia anzisha tena vita. Trump ni muongo sana hawezi kuwa upande wa Iran hata siku moja aba damu ya Kiyahudi yule.
sio sababu ya kushindwa kubondwa urusiNever..kwanza hiyo kambi ya magharibi nguvu zimepungua, Putin anazidi kuibeba ukraine,kishachukua mgodi wa pili Kati ya minne ya madini adimu, wakati huohuo ukraine ana upungufu wa askari
Duh kwa hio mambo yote yameanza October 7 kumbe?Walikwenda Israel kwa mafunzo zaidi ya kilimo, walipelekwa na serikali ya Jamuhuri ya muungano ya Tanzania.
Sipendi hi vita itokee tena cause itatuathiri hata sie tusiohusika lakini ukweli utabaki, vita hi ya mashariki ya kati ilioanza mwaka juzi, aliyesababisha ni Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran. Iran ndio shida pale middle east, walikua wakiishi kwa amani sana hadi October 07, 2023
US ana nguvu kuliko Iran hatukatai lakini nguvu yake ipo kwake sio pale Gulf states pale Iran ndio mwenye nguvu. We ndio tumia akiliUtakuwa na kichaa sio bure yaani USA azidiwe na Iran? Punguzeni mihemko ya kijinga tumieni akili hata za kuvukia barabara...
Sasa hapa mwenye kichaa ni nani?Utakuwa na kichaa sio bure yaani USA azidiwe na Iran? Punguzeni mihemko ya kijinga tumieni akili hata za kuvukia barabara...
USAid ndo wafadhiri wa ugaidi acha kujitoa akiliNikikumbuka vifo vya vijana wetu wawili kupitia wale magaidi, mimi nasimama na Israel kukomesha hao Iran ambao ni wafadhili wakuu wa ugaidi duniani.
They never forget, they never forgive, they never regret.Israel?
Hawajawahi kujua thamani ya kuishi, wamezaliwa mvita wanaishi vita na hawataacha kumpiga kila adui yao na maisha yao siku zote ni ushindi, ukibahatika umewashinda, ni kwa muda tu, watajipanga tena na tena mpaka washinde
Hao ndiyo Wayahudi, Farao anawajua vema
Tangu lini kuna amani middle east?..Walikwenda Israel kwa mafunzo zaidi ya kilimo, walipelekwa na serikali ya Jamuhuri ya muungano ya Tanzania.
Sipendi hi vita itokee tena cause itatuathiri hata sie tusiohusika lakini ukweli utabaki, vita hi ya mashariki ya kati ilioanza mwaka juzi, aliyesababisha ni Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran. Iran ndio shida pale middle east, walikua wakiishi kwa amani sana hadi October 07, 2023