Usiropoke Ayatollah Khamenei hayupo shimoni na anaendelea na fatwah zake muda wowote ule.Ayatollah anaanbiwa toka shimoni huko vita nje imesitishwa haamini mpaka leo bado yuko mapangoni, anajirekodi na kurush viclip vyake vya kishujaa akiwa amejificha. Uhai sio mchezo.
Acha kuropoka.