Awamu ya pili vita israel na Iran inanukia

Awamu ya pili vita israel na Iran inanukia

Kipindi unaropoka hivyo kumbuka chanzo ni Israel hao hao walianzisha vurugu.
Wewe kuunga kwako mkono hakuondoi ukweli kuwa Hamas walikua wakipambania ardhi yao.
Matakwa ama shauku zako binafsi ni nonsense.
Kwa hiyo ni sawa wale vijana wa kitanzania huuwawa kwa style ile? Au kwa akili za kiislamu wale vijana wamekufa wakiipigania Israel!!!!???
 
Wahanga kiuchumi ni sisi wadigo toka Kinyamwezi, ila nashangaa tunavyoshabikia na kufurahia hizo vita hadi kutukanana kisa tu utumwa wa dini za Mabeberu zisizotupatia hata sh 100.

Aliyeturoga kwa dini za majahazi katupatia kweli kweli .

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kutukanana kisa kinachoitwa dini ( mila na desturi za waarabu)
 
Bila kuiona roho ya huyo babu inatoka mwili Israel hakutopoa yaani wapo tayari kwa lolote time will teri
Trump na Netanyahu si wamesema walikuwa wanajua mahali alipo huyo babu!?
Kwanini hawakumuua kama ndio kipaumbele cha Israel!?

Pia Israel inabidi ijichunguze, inakuwaje kipaumbele chao ni kuisaka roho ya babu wa miaka 86!?
Wapo serious kweli?
 
Kwa hiyo ni sawa wale vijana wa kitanzania huuwawa kwa style ile? Au kwa akili za kiislamu wale vijana wamekufa wakiipigania Israel!!!!???
Umeelewa hata nacholenga hapa!?
Kasome upya utaelewa.
 
Mi shabiki wa Iran ila aliniudhi kukubali cease fire. Ilitakiwa apige haswa maana adui alikuwa amezidiwa. Sasa amejipanga haswa. Iran inaweza kuanguka. Ngoja tuone
Iran nayo imeshajipanga zaidi ya pale.
Na sasa hivi akithubutu Israel basi kaisha.
 
Hayo majamaa hayanaga akili na ndo maana Yahudi huwa hacheki nao ni kupiga kila kitu hadi paka wao...
Shida kubwa uwezo wa kufikiri Ulokole sawa na nusu mento

1Embu nijibu wa Tanzania walienda Palestina au Israel ??

mwenye dhamana ya Usalama wao awa wa Tanzania ni nani Palestina au Usrael ??

kwaiyo ninani tulitakiwa kumdai awa ndugu zetu ??
 
Iran na zuchu hawana tofauti yaani taarabu kibaoooooooo....

Israel nayo inataka izingue

Watu mna nyuklia tumieni sasa mnatengeneza siraha alafu mnategemea mtatumia mda gani au ndio mnaziweka ili mpigane na alien..

Hizo bomu ni za kupigana na kunyooshana. So piga nyuklia sambaratisha iwe history kuwa kumbe watu flan wakichikozwa wapo hv..

Kama wameshindwa kutumia hizo nyuklia zao basi walete huku hizo uranium tuzalishie umeme ili sisi wauzaji nyimbo na miziki ya reja reja mambo yetu yawe sawa
 
hata kama wanapambania ardhi yao wale vijana wakitanzania waliwakosea Nini?wewe mfia dini naona dini imekupofua
Naww mlokole kwani mwenye Dhamana ya Usalama wao ninani ni Palestina

Watanzania walienda wapi Palestina au Israel Israel ndio inatakiwa kujibu ndugu zetu wapo wapi sio mwengine yoyote

jukum la Usalama wao lilikuwa kwa Israel wao ndio wakuwadai

wasituletee Ushoga kama awawezi kulinda watu kwann waliwachukua chuki zimewapalama kias Akili zimekwama kujua pakudai ndugu zetu..

kuna Pumbavu moja likafikia kusema eti Serikali ya TZ imwite Balozi wa Palestina kutaka kujua alipo kijana wao!!!!!!! ulokole Tz nijanga kubwa.

vijana wameondoka wameenda Israel mlokole anataka kwenda kuulizia au kudai Palestin¿¿¿¿¿¿¿¿
 
Kwakuwa makombora ya Iran nayo yanafika kwenye miji ya Israel basi sawa vita iendelee tu
 
Back
Top Bottom