vitabu

  1. JamiiForums Tanzania Kuna vitabu unatafuta? WhatsApp 0737317870.

    Hello Wana_JamiiForums. Kwa sasa tunauza softcopies za vitabu mbalimbali. English & Swahili. Endapo kuna vitabu (Softcopies/ pdf) unahitaji au umetafuta bila mafanikio tafadhali tuma ujumbe WhatsApp 0737317870. Tutarecommend vitabu endapo huna uhakika na maarifa unayohitaji kupata. Tutakuunga...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu tunazostahili

    Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu zinazostahili wakati wa shughuli za Bunge, licha ya posho hizo kuainishwa kwenye vitabu vya Bunge. Je, fedha hizo zinaishia wapi? Tunaomba suala hili lifuatiliwe ili kuhakikisha tunapata stahiki zetu na uwajibikaji unazingatiwa.
  3. JamiiForums Tanzania Hivi elimu ya sasa imefeli au akili zetu zimegoma? Mbona zamani walisoma vitabu viwili tu na wakabadilisha dunia?

    Wakuu salama! Kuna kitu kimeniamusha asubuhi ya leo nikawa nawaza sana hapa kijiweni. Hivi mshajiuliza kwanini wafalme na viongozi wa zamani (kama akina Mfalme Sejong wa Korea au hata akina Mansa Musa) walikuwa wanasoma vitabu vichache sana, lakini walikuwa wanaitwa ma-genius na walifanya mambo...
  4. JamiiForums Tanzania Soma na sikiliza vitabu ndani ya Maktaba.co.tz

    Ndani ya Maktaba.co.tz unaweza kusoma na kusikiliza vitabu karibu 140. Gharama ni kuaznia Tsh 1,500 kwa mwezi. Unatumia kwa simu au PC. Karibu.
  5. JamiiForums Tanzania Picha Inazungumza Maneno Elfu Moja

    https://youtu.be/0WHiPCP7NOk?si=m0XtKAqQPDQZRRJs 🔥 “NAKUONA, NAKUONA…” — EMMANUEL MUGANDA WA VOA AREJEA BAADA YA MIAKA! | PICHA INASEMA MANENO ELFU MOJA Baada ya kutokuonana tangu mwishoni mwa mwaka 1968, leo nimepata ziara ya kipekee nyumbani kwangu Magomeni Mapipa kutoka kwa ndugu yangu...
  6. JamiiForums Tanzania Nauza vitabu softcopy baba tajiri,baba maskin,henoko,tajiri wa babeli

    WhatsApp 0756704145
  7. JamiiForums Tanzania Nauza vitabu softcopy henoko(biblia hakipo), baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli. Bei 10,000

    Nauza vitabu softcopy /nakala laini vimetafsiriwa kiswahili WhatsApp 0756704145
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

    Kwanza tunaamin hiki kitabu kikiandikwa na MUNGU kupitia mkono wa binadam...na mara ya kwanza kilkuwa na vitabu vingi... lkn zinazochapwa kwa sasa zimenyimwa baadh ya vitabu... na wala sisikii vikitumika ktk mafundisho.... mf SIRA...BARUKU..SUSANA...BELI NA JOKA..WAMAKABAYO.. JE hii n kwan...
  9. JamiiForums Tanzania Vitabu vya kishirikina vinavyowapa kiburi wapemba na baadhi ya mashehe na maustadh

    Ni-declare interest mimi sio muislamu bali ni mtu ambaye ni curiocity wa mambo mengi yaliyopo duniani 👇👇👇👇👇 Turudi kwenye uzi Watu wamekuwa wakiwaogopa wapemba na moja ya sababu kubwa ni kwamba ukimess na mpemba basi anakufanya kitu kibaya Ninini kinawapa kiburi wapemba Kinachowapa kiburi...
  10. JamiiForums Tanzania Nauza vitabu (baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli)softcopy pdf

    Nauza vitabu WhatsApp 0756704145
  11. JamiiForums Tanzania Urusi yashambulia mitambo ya uchapishaji Ukraine, mamilioni ya vitabu vinateketea

    Viktoria Haidai anatazama kwa huzuni mabaki yaliyoharibiwa ya mashine za uchapishaji ambazo zilipaswa kuwa zikifanya kazi kwa kasi kuchapisha vitabu vya kiada kwa ajili ya mwaka mpya wa shule. Kiwanda hicho kilichopo pembezoni mwa Kyiv, Ukraine, kilishambuliwa usiku na kombora la Urusi wakati...
  12. JamiiForums Tanzania vitabu adimu , Navipata wapi? Mnunulie kijana wako w chuo.

    Wakongwe wenzangu naombeni mwenye vitabu hivi soft copy anitumie dm au kama ni hard copy basi mnijuze vinapopatikana. Ukisoma hivi vitabu unapanua uelewa kama Lissu , Mshana JR, Khalifa na Jenerali Ulimwengu. Kitabu kipi bado hujasoma kati ya hivi? 1.Salamu toka kuzimu (Ben Mtobwa) 2.Tutarudi...
  13. JamiiForums Tanzania Nauza vitabu (Henoko, baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli)

    Kila kitabu bei 10,000 nicheki WhatsApp 0756704145
  14. JamiiForums Tanzania Nauza vitabu (Henoko, baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli)

  15. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kuunganishwa na Kampuni yoyote ya Uchapishaji wa Vitabu

    Mimi ni mwandishi wa Vitabu (zaidi ni Riwaya). Tena naandika mno! Changamoto ni moja ambayo ni kuwa, Sina uwezo wa kuchapisha na kuzisambaza kazi zangu kutokana na kipato changu kuwa kidogo. Naomba msaada wa 'Konekisheni' ya Kampuni ama Taasisi yoyote ambayo inajihusisha na Uchapishaji na...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa mkusanyiko wa vitabu vya zamani

    Wadau nimeona nianzishe uzi kwaajili ya kumbukumbu zetu. Sisi tuliosoma miongo mitatu iliyopita mtakumbuka baadhi ya vitabu ambavyo vilikuwa na masimulizi ya kuvutia yaliyobeba ujumbe kwaajili ya kuibadilisha jamii. Binafsi nilipenda kusoma kitabu cha darasa la 4 kilichojaa hadithi za...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Kama biblia na quruan ni vitabu vya Mungu vilivyoshushwa je Mungu ndiye aliyefanya hayo marekebisho?

    Tujitafari, Biblia na quruan kwa akili ya kawaida ya Waafrika wengi waliofirisika kifikira wanaamini ni vitabu vya Mungu hadi kudai vimeshushwa na Mungu duniani. Sasa kama ni Mungu aliyeviandaa kwanini nyie watu wa duniani mnavichapisha upya katika matoleo mbalimbali hapa duniani badala Mungu...
  18. JamiiForums Tanzania Nagawa bure hivi vitabu vyangu

    Mara oh mwehu wew unapost pumba tu na Hauna mchango wowote jeiefu folamu..haya sasa mzigo hua wa statistics na wale wa data analysis!!. Bureeeee kabisaaaaa bureeeeeeee!!!!!
  19. JamiiForums Tanzania 📚 Vitabu, vitini na mitihani ya shule za msingi vinapatikana 📚

    📚 VITABU, VITINI NA MITIHANI YA SHULE ZA MSINGI VINAPATIKANA 📚 Je, wewe ni mzazi, mlezi, mwalimu au unamiliki shule ya msingi? Tunatoa vitabu na vifaa mbalimbali vya kujifunzia kwa Shule za Msingi za Swahili Medium na English Medium, kwa madarasa yote kuanzia Awali hadi Darasa la VII...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Andika Kwa kifupi tu utaeleweka sio Kila saa unaandika mada ndefu kupita kiasi kama makala na vitabu

    Kila unapoandika hu:)wezi kuandika kwa ufupi kwa sababu wewe ni mwandishi. Sijui kama ni tabia ya waandishi wengi, lakini wengine hata ukiwauliza jambo dogo tu, jibu linakuwa kama makala nzima! Mimi binafsi napenda watu wanaoweza kueleza jambo kwa kifupi na kueleweka. Ukiandika ujumbe jf wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…