vitabu

  1. Huyu ndio mwandishi bora wa vitabu kuwahi kutokea

    Anaitwa Dale Carnegie Na hivi ndio vitabu bora zaidi kuandikwa na huyu
  2. Msaada wa soft copy ya vitabu, pamhets, kwa masomo ya uchumi na accounts A level na professional studies

    Wakuu naomba msaada kwa mwenye soft copy ya vitabu, pamhets kwa masomo ya uchumi na accounts A level na professional studies
  3. Ni Vitabu vya aina gani vinavyosomwa na Watanzania na Kuandikwa na Watanzania?

    Habari za wakati huu; Kuna mtu ameniomba ushauri kwamba anataka kuwa mwandishi wa vitabu.Kwa kweli nilifurahi ila nilimuuliza analenga kuandika vitabu kwa ajili ya kina nani?Alisema Watanzania wa Rika Lolote lile? Basi baada ya mjadala mrefu na mipango mingi nikasema nirudi hapa niwaulizeni...
  4. S

    FURSA:Waandishi wa vitabu anzeni kuandaa kitabu hiki:The Decline and Fall of CCM

    Naomba nitumie nafasi kuwashitua waandishi maarufu wa vitabu duniani kuwa kuna fursa inakuja na hii si nyingine bali ni ya kuandika kitabu kinachoweza kuitwa: The Decline and Fall of Chama Cha Mapinduzi. Hoja yangu hapa ni kuwa,vitabu vinaweza kuandikwa zaidi ya kimoja,ila ataekuwa wa kwanza...
  5. S

    Kama bei ya kununulia ndege inatamkwa katika vitabu vya Bajeti,ugumu wa kuweka wazi mikataba unatoka wapi?

    Binafsi nilitarajia usiri wa bei katika kununua hizo ndege baada ya kukubaliana bei ndio iwe chanzo cha usiri wa mikataba ya manunuzi kwa malengo ya kibiashara(mteja mwingine nae aje ani-gotiate bei na terms za manunuzi kivyake). Sasa kama gharama ya kununua hizi ndege imetajwa,nini tena msingi...
  6. M

    Ni mashine inatengeneza peasa au ni pesa inatengeneza mashine?

    Tumuombe mungu atujalie uzima maana katika kipindi hiki tutaona mengi ya kuthibitisha kwamba mwafrika ni Tabaka la mwisho kabisa kifikla,katika kipindi hiki cha kampeni kuna mgombea amejizolea kundi dogo la wanaomsapoti kwa hapa Tanzania tunawaita "MAKANJANJA" kutokana na tabia walizokuwa...
  7. Naomba mwenye vitabu na material mengine kwa kujifunzia ufundi magari na pikipiki anisaidie

    Mambo vipi wakuu, Jamaa yenu hapa ninayo shauku kubwa ya kujifunza kutengeneza magari pamoja na pikipiki kwani maisha niliyo nayo mara baada ya kutoka chuo hayasomeki hivo nimeona ni vema zaidi nikapata japo ufundi stadi ambao utaniwezesha kupata riziki ya kuishi wakuu. Lengo langu ni kupata...
  8. Vitabu vitano vya kukuza ujuzi wa fashion

    Moja ya tasnia kubwa duniani ni fashion, kazi ambayo inaweza kuwa career ya kijana kama akiwa na interest nayo. Kwa mujibu wa www.indeed.com fashion designer duniani wanaingiza wastani wa $6,000 (takribani milioni 14) kwa mwezi. Ukifanya tathmini kwa mazingira ya Tanzania, tasnia ya fashion ni...
  9. E

    Swali kuhusu kununua vitabu mtandaoni

    Habari wakuu, Samahani nauliza ukinunua kitabu mtandaoni, halafu ukawa huna hela ya wao kukutumia Kama ni cha kutoka nje ya nchi unaweza ukakisoma kwa soft copy baada ya kununua? Na pia, Kama kuna mtu anajua hivi vitabu Chemistry demystified 2nd edition vinapatikana wapi hapa Tanzania anijulishe.
  10. Vitabu vya marehemu Ben Mtobwa

    Kwa wale wapenzi wa riwaya za Hayati Ben Mtobwa, ambaye mpaka sasa tumeweza kufikisha riwaya aina 15 zikiwemo riwaya za kipelelezi zinazombeba Joram Kiango kama mpelelezi hodari anayeweza kufumbua mafumbo mengi yanayotukia kwenye jamii. Mbali na hapo, kuna riwaya za kijamii kama Zawadi ya...
  11. Vitu vitatu (03) unavyohitaji ili unufaike na usomaji wa vitabu

    Wengi wa wanaosoma vitabu wanapoteza tu muda wao, wanakazana kusoma ili waweze kuwaambia wengine wamesoma vitabu vingapi, huku maisha yao yakiwa hayabadiliki kwa namna yoyote ile. Huu siyo tu upotevu wa muda, bali pia kuchafua akili, maana kama ambavyo Alexander Pope amewahi kusema, “Maarifa...
  12. Mabalozi wapya wa kigeni wakipewa vitabu vya kujifunzia Kiswahili (Diplomatic Gift) itasaidia kuitangaza vema lugha yetu?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB. Leo ngoja tujadili kidogo...
  13. Kwanini Watu ' Maarufu ' wakiandika na ' Kuzindua ' tu Vitabu vyao vya Maisha yao, muda mfupi tu huwa Wanakufa?

    Kutokana na ' Uchunguzi ' wangu mdogo tu nilioufanya ndani na nje ya Tanzania nimegundua ya kwamba kumbe huku Kukimbilia kuandika Historia yako ya Maisha na kuyaweka katika Kitabu na ' Kukizindua ' kwa ' Mikogo ' yote huwa hakupokelewi vyema na ' Israeli Mtoa Roho ' ambapo huwa ' hakukawizi '...
  14. Vitabu 5 Vya Ujasiriamali Vya Kusoma 2020 Kukuza Kipato Chako

    Kibaha House Of Wajasiriamali tunakuletea vitabu 5 tulivyovifanyia majribio kwa miaka 5 mfululizo na kupata matokeo makubwa yakuridhisha: Kila kitabu utachonunua katika hivi, utapata fursa ya kujifunza kwa vitendo hapa Kibaha au kwa njia ya video ukiwa popote. Vitabu hivyo ni: 1. Miongozo ya...
  15. E

    Kama hujasoma vitabu hivi basi wewe umekosa utamu wa kusoma vitabu

    Katika nyumba vitu vinavyoibiwa sana na watu wako wa karibu kabisa ni vitabu, kama una shelf ya vitabu kaa mwaka mwaka mmoja halafu ukaikague shelf yako lazima utakuta robo tatu ya vitabu vyako vimeibiwa. sababu kubwa ya wizi huo ni raha iliyomo katika hivyo vitabu. Kwa masikitiko makubwa...
  16. INAUZWA Nauza vitabu vya Chemistry na Biology advanced S. Chand

    Habari wakuu! Nauza vitabu vifuatavyo: 1. Conceptual Chemistry Class XII Volume 1 Bei= 2. Cell Biology, Genetics, Molecular Biology, Evolution and ecology Bei 28,000/= 3. Advanced Physical Chemistry S.Chand Bei 18,000/= 4. Practical Chemistry S.Chand 15,000/= Vitabu vinapatikana Arusha Mount...
  17. Hivi Baba Askofu Dkt. Bagonza na Askofu Niyemugizi wameshawahi kuandika vitabu? Natamani kuvisoma

    Wanajamvi, kama heading inavyojieleza, nimejaribu ku google sijaona. Nimeamua niulize humu ndani endapo kuna yeyote anayefahamu kama niliowataja hapo juu, wameshawahi kuandika vitabu au hata kitabu na vikawa published? Ningependa kufahamu. Na kama hawana, napenda kuchukuwa nafasi hii kuwaomba...
  18. Video: Hizi hapa salamu za Jumapili kwa walioiba vitabu vya Shule

    Ni vema ukatumia muda huu kuvirejesha hata kama una mvi kichwani
  19. Mwanafunzi wa Advance (Science) chukuwa vitabu hivi kwa bei nafuu

    Mwanafunzi wa advance chukua vitabu hivi kwa bei karibia na bure vikusaidie kipindi hicki cha mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19, kaka yenu nimestaafu kufundisha. CONCEPTUAL CHEMISTRY CLASS XI(S.CHAND ) CONCEPTUAL CHEMISTRY CLASS XII (S.CHAND) A-LEVEL CHEMISTRY fouth edition (E.N. Ramsden) Vyote...
  20. Utambulisho

    Habari wana-Jamii Forums Naitwa Fatma. Nipo hapa kwa ajili ya kujifunza na kujadili mambo mbali mbali yanahusu fedha, uwekezaji na uchumi. Mbali na hilo napendelea pia mijadala inayohusu maswala ya kijinsia na pia ni mpenzi wa kusoma vitabu. Napendelea mijadala inayolenga kufunzana. Asanteni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…