viwanja

  1. Watoto na wajuku zako watanunua viwanja vya kujenga wapi?

    Umeshajiuliza waliowahi kupata viwanja kariakoo Sasa Wanaishi kama wafalme, mnaziona zile slums ambazo zipo Buguruni, Manzese zote ni hela ndefu jaribu kumuamisha mtu uone bei utakayo pewa. Jiji la Dar es Salaam kama vile limeshajaa tu, Ukiwa na kipato kidogo jiandae kujenga kibaha kwa Mathias...
  2. Mikoa ifuatayo kuna umuhimu kuwa na viwanja vya mchezo aa golf

    Tanga Mwanza Mbeya Dodoma Na mtwara Ni muhimu sana kuongeza motisha ya mchezo
  3. T

    Serikali pigeni marufuku upimaji na ugawaji wa ardhi kutumia futi. Haiakisi mipango miji

    Kuna dhuluma kubwa na utapeli mwingi unatendeka kwenye kipimo cha futi kinachotumiwa katika upimaji na ugawaji kwa wasiojua. Kipimo cha futi ni cha kufikirika tu na zaidi kinatumika kipimo hicho kuficha ukweli halisi wa udogo wa viwanja vinavyotolewa. Kwa mfano, unakuta kiwanja unaambiwa kina...
  4. Ni nani mmiliki wa viwanja vya Gymkhana Dar es salaam? Ufisadi wa kutisha unaandaliwa

    Swali ni nani mmiliki wa viwanja vya Ghymkhana Dar es Salaam? Tuanze kunywa mtori nyama ziko chini, naomba kumjua mmiliki na muendeshaji wa viwanja vile. Updates: Well, kinachoendelea sasa ni kuiua Gymkhana kwa ustadi wa hali ya juu, moja ya mbinu inayotumika ni tozo ya kutumia facility kwa...
  5. R

    Serikali kupitia Wizara ya Ardhi yatoa Orodha ya Viwanja Vilivyobatilishwa na Rais

    Kamishna Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi anawatangazia wanachi kuwa wamiliki wa viwanja na mashamba kwenye orodha hii milki zao zimebatilishwa kwa mujibu wa Sheria ya Ardhi No. 4 Sura ya 113 kwa amri ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kuanzia tarehe 3 na 8 Agost 2022...
  6. Nilivyomkomesha tapeli wa viwanja Kivule Dar es Salaam

    NILIVYOMKOMESHA TAPELI WA VIWANJA KIVULE Habari zenu wadau wa JF! Leo nami nimeonelea niwasimulie kisa changu jinsi nilivyomkomesha tapeli maarufu wa viwanja maeneo ya Kivule ajulikanaye kama Juma Kasangu,mnamo mwaka 2014 mwanzoni nikiwa katika harakati zangu za kutaka kujipatia eneo...
  7. Rais Joe Biden azuru Kyiv, Ukraine Februari 20, 2023

    Rais wa Marekani, Joe Biden atembelea Kyiv baada ya safari ya masaa 9 kwa treni kutoka Poland ambapo amewasili asubuhi ya leo US president Joe Biden is on a surprise visit to Kyiv, where he's meeting with President Zelensky ahead of the one-year mark of Putin’s full-scale invasion of Ukraine...
  8. Vijana Wenzangu, Connection za Maisha zipo Bar na Kwenye Viwanja!

    Usikae tu home na vijiwe viisvyo maana. Hata kama sio Mlevi, Toka nenda Kiwanja ambacho unajua wastaarabu wanakaa. Huko ukutane na RC, DC, RAS, DAS, DED na Ma CEO mbalimbali. Hawa watu typically ni Walevi, ni wanywaji Pombe haswaa, nahuko Niko wanakutana kupeana michongo. Sio lazima unywe...
  9. Wakuu naombeni bei za viwanja na heka Morogoro

    Wakuu kama mada inavyosema naombeni Muongozo tafadhali bei za viwanja na heka .
  10. Prof. Lipumba kuunguruma February 11, viwanja vya Magomeni Morocco (stendi ya mwendokasi)

    PROF.LIPUMBA Kuunguruma February 11, viwanja vya Magomeni Morocco(stendi ya mwendokasi) CUF- Chama cha wananchi wilaya ya Kinondini Mkutano mkuu wa hadhara Viongozi wakuu wa chama watakuwepo wakiongozwa na bingwa wa uchumi dunia Prof. Lipumba. Usipange kukosa njoo tuisimamishe Kinondoni...
  11. DOKEZO Hii tume ya Rais ikimaliza iende kuchunguza Wizara ya Ardhi. Watu wanaporwa viwanja wahusika wako maofisini mateso makubwa

    Nimpongeze Rais Samia kwa kuunda hii tume kuchunguza vyombo vytu vya dola nk. Niombee tu mkimaliza huko tuna imani na nyie na mapendekezo yenu baada ya shuhuli tunaomba ikiwapendeza mumwombe Mh Raisi mkachungze wizara ya ardhi shida iko wapi na nini kifanyike wananchi wachwe kuporwa viwanja...
  12. Mama Mabula kaa chonjo hapo Ardhi, kuna genge la wafanyakazi wezi na waporaji viwanja!

    Nataka kumtahadharisha mama yangu Mpendwa Mama Dk Angelina Mabula. Amekaa hapo Wizara ya Ardhi kwa muda mrefu sasa lakini hajui kuwa kuna kakundi au genge la wezi na waporaji wa viwanja. Suala linaanzia hapo kwa Msajili wa Hati. Mafaili ya viwanja yanapotezwa na kuna nyakati mafaili yanakuwa...
  13. Nini kifanyike juu ya majengo ya kwenye viwanja vya Nanenane na Sabasaba ambayo hukaa bure na wazi kwa mwaka mzima?

    Hasa majengo ya nane nane. Kwenye viwanja hivi ambavyo vipo karibu kila mkoa, utakuta taasisi nyingi zimejenga majengo mazuri na ya kudumu. majengo haya huwa hayatumiki na watu kwa mwaka mzima isipokuwa Kwenye sherehe za nane nane au sabasaba. Tunawezake kuyatumia majengo haya kwa faida kwa...
  14. Nauza viwanja, nyumba na kupangisha nyumba maeneo mbalimbali Dar es Salaam

    *Mapinga- Viwanja vya makazi! Ukubwa wa sqm 500, viko km1.5 kutoka barabara ya lami. Vimepimwa tayari kwa ufuatiliaji wa umiliki kisheria. Huduma zote za kijamii zinapatikana, maji & umeme upo. Kumejengeka TAYARI Bei Tsh: 10M Lipia hadi miezi mitatu! Mawasiliano : 0753288167
  15. Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Nyumba Mwaka 2023

    PILI; Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo Makala iliyopita nilikushirikisha jinsi nitavyofanya endapo nitakosa fedha kwa ajili ya kununulia nyumba ya kupangisha. Nilitaja mambo ambayo ninaanza nayo. Mambo hayo ni;- βœ“ Kumiliki mtandao wa mauzo ya viwanja...
  16. Plot4Sale Viwanja vinauzwa Mbezi Msakuzi

    Ukubwa wa kiwanja sqm 400 (20 kwa 20) Kinauzwa Tshs. milioni nane πŸ“ž +255 68 719 1472 WhatsApp +255 788 630 203
  17. M

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kimbiji, Kigamboni

    πŸ‘‰ Viwanja Kigamboni Kimbiji πŸ‘‰ Mashamba tambalale Kwa ufupi. Eneo la ekari 3.5 beach area Lipo mkoa wa pwani Kisiju Karibia na bandari ya Kisiju Kituo ni Sotele Km 87 kutoka City Center DSM Bei ni milioni 12. (Negotiable) +255746 474849 Update** Heka zaidi ya 100 zinauzwa kisiju wilaya ya...
  18. Kwa umri wangu wa 20's ninamiliki nyumba 3, gari 2, viwanja na mashamba kedekede. Unamiliki nini kwa huo umri wako?

    Au nyie wenzangu kama kawaida yenu team wivu mnamiliki majungu,fitina,chuki,wivu na udini? Kwa huu umri wangu wa 20's atleast nimemiliki vitu kadhaa ambao wewe mwenye 30 plus n.k hauna kazi umekalia wivu na majungu tu hivyo vitu haviwaisaidii nyie waswahili majungu,wivu,chuki na fitina si mtaji...
  19. Mkurugenzi Jiji la Mwanza ashtakiwa TAMISEMI madai ya kuuza viwanja

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima 'amemshtaki' mkurugenzi wa jiji hilo, Sekiete Yahya kwa Wizara ya Tamisemi ambayo ndio mamlaka yake ya nidhamu, akimtuhumu kuhusika na uuzaji wa viwanja viwili vyenye thamani ya Sh1 bilioni. Wakati barua ya mashtaka ikitua Tamisemi, Malima ameagiza watumishi...
  20. Jinsi unavyoweza kuandaa fomu za Ukaguzi wa viwanja na ukaguzi wa nyumba kabla hujanunua

    Ukaguzi wa nyumba ni sehemu muhimu sana kwenye mchakato wa kununua kiwanja au kununua nyumba. Fomu ya ukaguzi wa kiwanja au nyumba inatakiwa kuwa na vipengele vifuatavyo;- βœ“ Taarifa za nakala za umiliki wa ardhi au umiliki wa nyumba. βœ“ Taarifa za usalama wa mazingira ya kiwanja au nyumba. βœ“...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…