Jana nilikuwa sehemu nikawa nina mahitaji ya haraka ya pesa. Huwa sina tabia ya kujikopesha maana naonaga ni kuingia gharama kusiko kwa lazima ila sikuwa na jinsi.
Sasa nikasema nijikopeshe shilingi 370,000 kupitia MPAWA, Vodacom wakakata 70,000 juu kwa juu. Nimewapigia wanasema ndiyo makato...