Mhadhiri wa sayansi ya siasa wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Dk Conrad Masabo anasema demokrasia ya Tanzania iliharibiwa tangu mwaka 2016 kutokana na uamuzi uliofanywa na Watanzania kuamini mtu na sio utaratibu.
“Tunachokipitia ni matokeo ya huo uamuzi wetu. Demokrasia kama haki nyingine...
Kuweka Msimamo Dhidi ya Utekaji Ndani ya Vyama vya Siasa
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko mazito kuhusu vitendo vya utekaji vinavyohusishwa na baadhi ya viongozi ndani ya chama cha CHADEMA. Matukio haya yanapokuwa ni sehemu ya majadiliano ya kisiasa na kijamii, tunapaswa...
Nakubaliana na Amiri Jeshi Mkuu, kuhusu umuhimu wa kutafakari matukio kama ya risasi kwa Donald Trump, aliyekuwa Rais wa Marekani. Ikiwa tukio kama hilo lingetokea Afrika, jinsi ambavyo ubalozi na mataifa ya magharibi wangejibu ni swali la kujiuliza.
Hivi karibuni, nguvu kubwa ya polisi...
Sote tunajua kuwa mchakato wa kuwapata viongozi wa Serikali unaanzia huko kwenye vyama vya siasa. Chama cha siasa kikishinda uchaguzi, aghalabu, nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Serikali hushikwa na hao viongozi wa chama kilichoshinda uchaguzi. Hii ina maana mkiwa na viongozi wa hovyo ndani...
Vyama 13 vya siasa nchini vimejitokeza mbele ya wanahabari leo, Jumanne Septemba 13.2024 kwa ajili ya kupinga maandamano yaliyoandaliwa na CHADEMA yanayotarajiwa kufanyika Septemba 23 mwaka huuKatibu Mkuu wa DP Abdul Mluya ndiye Mwenyekiti wa umoja wa vyama hivyo
Pia soma
Umoja wa Vyama vya...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Muleba Kusini na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amesema kuzuiwa kwa mgombea binafsi nchini kumeifanya Tanzania kuwa na demokrasia ya udikteta wa vyama.
Ameyasema hayo leo Septemba 14, 2024 alipokuwa akitoa mada ya ushiriki wa wanawake...
Habari waungwana!
Je ni kwanini nchi yetu haimpi nafasi mgombea binafsi kugombea na kushika nafasi mbali mbali za kisiasa ikiwemo ubunge na Urais. kwani kwa maoni yangu hii ya kua lazima uwe mwanachama kwanza kunamfanya kiongozi kuweka kwanza maslahi ya chama mbele kuliko mahitaji ya wananchi...
Askofu Fredrick Shoo wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), amekemea vikali vitendo vya kikatili vinavyohusisha mauaji yanayodaiwa kuwa na viashiria vya ushirikina, utekaji na matumizi mabaya ya nguvu na mamlaka, ambavyo vinatishia usalama wa nchi.
Dk Shoo...
Kwa sasa Tundu Lissu ndiye mwanasiasa pekee ambae kuhama kwake sehemu kunaweza hama na watu , sababu nyuma kuna watu wengi sana ambao ni wafuasi wake na wana imani na yeye.
CCM wamemchukua Msigwa kama mtaji ndio maana anapewa airtime kwenye mikutano.
Kiuhalisia sasa ni kwamba Mchungaji imani...
Naam,
Kueleke mechi ya uchaguzi tayari wachezaji wote timu zote wapo uwanjani wanapasha misuli kabla ya kurudi vyumba vya kubadilishia nguo ili watoke rasmi na kuingia uwanjani kusubiri kipenga cha refrii ili kabumbu lianze.
Mpaka sasa kabla ya mechi wachezaji wameanza mazoezi ya kuonesha...
Kichwa Cha habari ndio swali alilouliza askofu Mwamakula ukurasani X
Kwenu CHADEMA 😄😄🔥
---
Kupitia ukurasa wake Rasmi wa Mtandao wa X (Zamani Twitter) Askofu Mwamakula anaadika:
Kama katika chaguzi mbalimbali ndani ya vyama vya siasa, uwezo wa kifedha miongoni mwa wagombea ndio uliotumika au...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu kutoshiriki kwa Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kwenye mdahalo ulioandaliwa na Kituo cha Televisheni cha Star Tv, na kuratibiwa na Ndugu Edwin Odemba tarehe 31 Agosti, 2024.
CCM inautaarifu umma kuwa Katibu Mkuu...
CHADEMA,ACT-WAZALENDO,CUF,NCCR-MAGEUZI ni vyama vya siasa vilivyo kosa sera halisi kwa watanzania ndio maana wameshindwa kunadi sera zao kwa watanzania kupitia vyombo vya habari kwa kujificha kwenye HOJA ya kutokuhudhuria kwa katibu mkuu wa ccm kwenye mdahalo*
_Tumeona nchi Kama Marekani...
Fuatilia live Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM.
Fuatilia mubashara Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM ambapo wanaotazamiwa kushiriki ni;
1. Dk. Emmanuel Nchimbi - CCM
2. Martha Chiomba - NNCR Mageuzi
3. Ado Shaibu ACT Wazalendo
4. Ahmad...
Kuna tatizo kubwa la weledi ndani ya Jeshi la Polisi.
POlisi wa nchi hii, bila shaka hawana weledi wa kutosha, na wala hawajishughulishi kujua sheria ili wafanye kazi zao kwa weledi. Lakini pia yawezekana wanajua sheria inataka nini ila kwa kiburi na kwa makusudi wanaamua kuikanyaga sheria kwa...
Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akizungumza wakati akifungua mkutano wa siku moja wa Tume na Wadau wa Uchaguzi uliofanyika leo Agosti 25, 2024 mkoani Mara. Wadau hao ni pamoja na Viongozi wa vyama vya siasa, Viongozi wa Dini, Wawakilishi...
madeni makubwa yasiyoeleweka wala yasiyolipika ni miongoni mwa hatari zinazo zengea zengea kwenye korido za miongoni mwa vyama vya siasa vikongwe na visivyo vikongwe kwenye ulingo wa kisiasa humu nchini..
hali hii ya madeni kupindukia, imepelekea kutokua kabisa na meno au sauti ya kukemea...
Nimeangalia conventions mbili za vyama vya siasa Marekani na pia huwa naangalia mara kadhaa mikutano yao ya kisiasa, kinachonishangaza ni kama huwa hakuna kauli za hamasa za ki-vyama kwenye mikutano ya chama au kampeni. Amsha amsha za vyama vyote huwa wanaimba tu USA USA USA.
Hakuna mambo ya...
Jeshi la Polisi Zanzibar limewatahadharisha na kuwaonya baadhi ya viongozi wa siasa kuacha kutumia uhuru wa kujieleza kwa kutoa kauli za kebeghi kwa viongozi jambo ambalo linaingilia faragha ya mtu na kuhatarisha uvunjifu wa amani visiwani Zanzibar
Kamishna wa Jeshi la Polisi Kamisheni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.