Ni wakati muafaka sasa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ifanyiwe mabadiliko makubwa.
Viongozi wakuu katika ofisi hiyo wamekaa pale muda mrefu na wengine hata zaidi ya miaka kumi.
Mara nyingi ofisi hii imelalalmikiwa na vyama vya upinzani na sasa kama itapendeza mabadiliko makubwa...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amewataka Wanasiasa Nchini kutumia vizuri ndimi zao na kamwe wasitoe matamshi ambayo yanaweza kuhatarisha amani na utulivu.
Balozi Dk. Nchimbi ameyasema hayo jana August 13, 2024 alipokua akiongea na Wananchi katika mkutano wa...
Kwa kuwa tangu kukamatwa Kwa viongozi wa CHADEMA na baadhi ya wanachama wake imeonekana kuwa CHADEMA imekuwa dhaifu. Natoa " challenge" hii Kwa watanzania wenzangu.
Kama tunaweza kukaa wiki nzima, badala ya kukijadili chama ambacho baadhi yetu wanasema kimekosa maono, basi tujadili vyama...
Hakuna mwananchi anayeona kuna tishio au hali isiyo ya kawaida kwenye siasa. Ila viongozi wa kisiasa ni kama wamepaniki.
Pamoja na mikutano yote waliyofanya bado nafsini mwao wanaamini wananchi wana njaa na wakiruhusiwa kuonyesha njaa zao kura zitapungua.
Je makatazo haya hayapelekei kuathiri...
Wengi wao wako radhi, na wameridhia kuunga mkono jitihada za Dr. Samia Suluhu Hassan za sasa; na endapo pia ataamua kugombea ukuu wa nchi kwa ngwe nyingine ya pili, basi watamuunga mkono kwa 100%.
Kuna wanachama wachache miongoni mwa vyama hivyo vya siasa vya upinzani, wanajaribu kuweka vikwazo...
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi inazindua uboreshaji wa taarifa za wapiga kura na Uandikishaji wa wapiga kura wapya tarehe 20 July 2024.Viongozi wao wakuu akiwemo Mwenyekiti Jaji mstaafu ndugu Jacobs Mwambegele pamoja na Mkurugenzi wa Uchaguzi ndugu Kailima wamejitahidi sana kuhamasisha na kutoa...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Tabora na Katavi kuwa na ushirikiano kati yao, Serikali, Vyama vya Siasa na wadau wengine wa uchaguzi.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa)...
Nyakati na zama mpya zina wakataa, fikra, maoni na mitazamo mipya ya urika, mvuto na ushawishi zinawapushi kwa nguvu sana kuwabandua nje ya mfumo.
Kiufupi mfumo na nyakati vimewatupa mkono. Hakuna haja ya kusubiri fedheha. ni muhimu kujifunza kusoma alama za nyakati na kuvhukua hatua, kabla...
Salaam wakuu,
Miaka ya hivi karibuni kumeibuka tabia hii mbaya ya kutumia wananchi wanaokumbwa na matatizo mbalimbali hasa wanaokumbana na mkono wa sheria.
Imefika wakati hadi wanamgombania kama mpira wa kona raia aliye kwenye matatizo husika ili kila mmoja basi aonekane akijali tatizo lake...
Wakuu salaam,
Kwa uelewa wangu kampeni huanza rasmi kwenye tarehe inayotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi, na hii huwa ni kwenye mwaka wa uchaguzi kwa ngazi ya Wabunge.
Lakini pia baada ya mbunge kuchaguliwa, wewe unakuwa mbunge wa wananchi wote, kama unahutubia wananchi inamaanisha...
Kwa nini viongozi wengi wa siasa lazima wawe ndio namba moja katika kula rushwa uku katiba ikiwakingia vifua tofauti kosa hilo likifanywa na mtu mwingine?
Tanzania inatimiza miaka 32 tangu kurejeshwa rasmi kwa siasa za vyama vya vingi nchini.
Julai, 1992 Tanzania iliweka wazi kurejesha mfumo wa siasa za vyama vingi, ambapo mwaka 1995 ulifanyika Uchaguzi Mkuu wa kwanza ulioshirikisha vyama vingi vya siasa.
Mfumo wa vyama vingi, umesaidia...
Leo amesikika Rais Samia akisema kuwa aliruhusu mikutano ya vyama vya siasa. Hiyo sentensi moja tu inamaanisha Rais Samia hajui katiba inasema nini juu ya mikutano ya vyama vya siasa?
Mikutano ya vyama vya siasa kwa vyama vyote vya siasa ni haki ya kikatiba, na wala siyo hisani ya Rais au CCM...
UTANGULIZI
Nchi yetu ni ya kidemokrasia, na mifumo yote ya kiutawala inazingia misingi ya kidemokrasia.
Hivyo Kila Raia anayo Hali ya kuchagua chama Cha siasa anachokiona Bora.
Zipo tawala mbali mbali nchini zinazotumia mifumo ya vyama vingi kupata watawala au viongozi.
Tawala Moja wapo ambazo...
Vyama vya kisiasa na wanasia, hasa katika nyakati za uchaguzi huibua na kuibuka na catchphrases, slogan au kauli mbiu za kusisimua wanainchi, kuwatambulisha au kuelezea hisia, uelekeo au shauku za uongozi wao na vyama vyao, endapo watapewa ridhaa kuongoza na wanainchi.
vyama na wanasiasa...
Tanzania tuitakayo ni nchi inayoongoza katika demokrasia na utawala bora barani Afrika. Ni nchi ambayo kila raia ana sauti katika kuchagua viongozi wake na kuamua mustakabali wa taifa lake. Ili kufikia Tanzania hii tuitakayo, tunahitaji kuboresha mfumo wetu wa uchaguzi kwa kutumia teknolojia ya...
demokrasia
gharama za uchaguzi
maendeleo endelevu
siasa na maisha
tanzania tuitakayo
teknolojia ya uchaguzi
tume ya uchaguzi
ushiriki wa vijana katika siasa
ushiriki wa wanawake katika siasavyamavyasiasa
Kama mada inavyojieleza hapo juu, nchi yetu imejaaliwa kuwa na kila fursa ya kuifanya iongoze uchumi wa Afrika Mashariki na hata Afrika nzima. Lakini tatizo kubwa sana tulilo nalo kama nchi ni mfumo wetu wa uongozi.
Mfumo wa uongozi wa nchi tulionao, hautoi nafasi ya watu kuwa huru na mawazo...
Vimekwenda au kupotelea wapi? Yale majigambo na vishindo vya mikutano na maandamano hatuvioni tena? nauliza tu vipi vipooo?
Hata vinara wao hatuwasikii kwenye mahojiano hakuna muendelezo wa mbinu na mikakati ,imekuwa kama hawapo.
Hii ni 2024 tunahesabu miezi tu, au wanasubiri kesho uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.