vyama vya siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Pre GE2025 Vyama vya siasa vitumie Uchaguzi wa Serikali za mitaa kama kipimo Cha kujitathmini uchaguzi mkuu

    Kiutawala, mitaa ,vijiji na vitongoji ni ngazi iliyo karibu zaidi na wananchi na uchaguzi wa Serikali za mitaa ,vijiji na vitongoji ndio kipimo Cha vyama vya siasa kujipima kukubalika kwao na wananchi walio wengi. Hapo ni Kwa muundo wa Serikali ,mitaa ,vijiji na vitongoji ndio ngazi ya karibu...
  2. engineerafrican

    Nini tathmini ya matokeo ya vyama vya siasa kuandamana kupinga hali ngumu ya maisha?

    Nini matekeo ya wananchi kuandama kupitia vyama vya kisiasi kupinga hali ngumu ya kuichumi kutaka serikali iwape relief ya maisha? Je, imekuwa na matokeo chanya kwa jamii? Serikali iliweza sikiliza vilio vya wananchi wanyonge? Ama vyama vya siasa vilitaka kuona nguvu ya ushawishi walyonayo...
  3. R

    Kuelekea uchaguzi, vyama vya siasa viwe vitatu pekee

    Salaam, Shalom. Ili kudhibiti matumizi mabaya ya pesa kwenye uchaguzi, pia Ili kuhakikisha vyama vinagharimia ipasavyo wagombea wao, na Ili kuondoa ubaguzi Kwa wagombea wasio njema kiuchumi, nashauri yafuatayo; 1. Vyama vya siasa nchini viwe vitatu pekee. 2. Vyama vingine vifutwe au...
  4. ndege JOHN

    Wazo fyongo:simba na yanga viwe vyama vya siasa.

    1.vina Wana chama wengi 2.historia yake ni kubwa na vina Ushawishi mkubwa 3.vina matawi kila sehemu kote vijijini 4.vina uwezo wa kujenga ofisi na watu kujitolea Kujenga kila kijiji 5.vinaweza kudumisha amani Kwa ule utani wake 6.demokrasia itakuwa kubwa itakuwa kama marekani ilivyo republic na...
  5. Heparin

    Pre GE2025 Sisty Nyahoza: Vyama vya siasa vimshukuru Rais Samia kwa kufungua Milango ya kufanyika kwa Mikutano na kudumisha Demokrasia

    Vyama vya siasa nchini Tanzania vimetakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwa kuzingatia sheria za vyama vya siasa. Hayo yamezungumzwa na Sisty Nyahoza, Naibu Msajili wa vyama vya siasa Tanzania akiwa katika mkutano mkuu wa ACT Wazalendo unaofanyika leo, Machi 5, 2024. Sisty amesema kwa sasa...
  6. Roving Journalist

    Pre GE2025 Idrissa Juma: Elimu ya kupokea Matokeo kwa viongozi wa vyama vya siasa baada ya Uchaguzi iwekwe kwenye Sheria

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 14, Kikao cha 2, leo Januari 31, 2024. https://www.youtube.com/live/aKnZBQWXD_o?si=nsUmxYJmKTyrVV5i "Mchango wangu unajielekeza katika Muswada wa Tume ya Uchaguzi, ninatamani katika kutekeleza majukumu ya Tume ya Uchaguzi ambayo yapo na...
  7. Nyafwili

    Pre GE2025 Uchaguzi 2025: Sauti Yako Katika Uchaguzi, Tuchambue Mapambano Ya Rais, Wabunge, na Madiwani - Maoni, Utabiri, Na Mjadala!

    .Kwa mujibu wa kalenda ya uchaguzi wa Tanzania, uchaguzi wa Rais, Wabunge, na Madiwani unafanyika kila baada ya miaka mitano. Hivyo, uchaguzi wa Rais 2025 unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba, ingawa tarehe inaweza kubadilika kulingana na ratiba rasmi itakayotolewa na mamlaka husika. (b) Mwaka...
  8. mwanamwana

    Pre GE2025 Vyama vya siasa vijiongeze kwa kuajiri wataalam ya lugha ya ishara wanapofanya mikutano yao

    Vyama vya Siasa nchini vinatakiwa kuweka mazingira wezeshi yatakayowasaidia watu wenye changamoto ya kusikia na kuongea ili kutimiza haki yao Kikatiba ya kushiriki katika mchakato mzima wa kushiriki uchaguzi bila kuwepo kwa vikwazo. Kutokuwepo kwa mazingira rafiki kwa kundi hili maalum...
  9. P

    Umewahi kuambiwa uongo gani kuhusu kadi yako ya chama cha siasa ukaja kujua sio kweli?

    Wakuu kwema? Kama mada inavyosema hapo juu, umewahi kuambiwa uongo gani kuhusu kadi yako ya chama cha saisa ukaja kujua sio kweli? Kuna watu wapigwa fix nyingi kuhusu kadi hizi kwa malengo mbalimbali iwe kuongeza wanachama, ushawishi na kadhalika. Uliambiwa kadi yako ya chama ina uwezo wa...
  10. Ritz

    Msajili: Vyama vya Siasa vinatakiwa kufanya uchaguzi wa viongozi kama Sheria inavyowataka na kuepuka kukaa muda mrefu bila uchaguzi

    Wanaukumbi. Vyama vya siasa ambavyo muda wa ongozi wa viongozi wake unakaribia kuisha, vinakumbushwa kufanya uchaguzi wa viongozi wake kabla ya muda huo kuisha..
  11. P

    Pre GE2025 Katibu Mkuu ADC: Tulipanga kufanya maandamano kuunga mkono miswada ipitishwe kuwa sheria lakini CHADEMA wakatuwahi

    Katibu Mkuu wa ADC, Doyo Hassan Doyo akiwa kwenye mkutano wa vyama vya siasa vya upinzani ambao hawana wabunge amesema wao walikuwa wamejipanga kufanya maandamano ya muswada wa vyama vya siasa pamoja na Tume ya Uchaguzi irudi bungeni kwa mara ya pili na ya tatu ipite kuwa sheria lakini CHADEMA...
  12. Roving Journalist

    Pre GE2025 Umoja wa Vyama vya Siasa: Hatukubaliani na Maandamano ya CHADEMA, walijitenga nasi, sasa hivi wanatushirikisha

    https://www.youtube.com/watch?v=G4tNsKr16_o Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa unaoundwa na Vyama 13 vyenye usajili Nchini unazungumza na Wanahabari, leo Jumatano Januari 17, 2024. Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa, Abdul Mluya Mwenyekiti wa Umoja Umoja wa Vyama vya Siasa, Abdul Mluya...
  13. Pascal Mayalla

    Pre GE2025 Maandamano ni Haki ya Vyama vya Siasa, Serikali itoe kila ushirikiano kwa CHADEMA hata kama uelekeo ni Ikulu

    Wanabodi, Kwa muda mrefu Tanzania tumekuwa na uoga wa maandamano, naomba kutoa wito kwa serikali yetu, let's do things differently this time. Hiyo 24 Jan, namuomba sana Rais Samia, amuite Waziri wa mambo ya ndani na IGP kuwaeleza watoe kila aina ushirikiano ili CHADEMA ili kufanikisha...
  14. Cheology

    Sifa ya kuajiriwa tume ya uchaguzi, au msajili wa vyama vya siasa.

    Ndg zangu Nimesomea political science eneo la PSPA. Naomba kujua sifa gani kupata ajira tume ya uchaguzi. Najua kazi zao ni Majukumu 1. Kusajili vyama vya siasa na kuvifuta vile ambayo vimekiuka masharti ya usajili kw ujibu wa Sheria namba 5 ya mwaka 1992. 2. Kuratibu shughuli za Baraza la...
  15. mwanamwana

    Pre GE2025 Vyama vya Siasa vya upinzani vijikite kuwaandaa wagombea mapema kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Tunapoelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 ni vyema vyama vyote vya upinzani vitakavyoshiriki vikaanza maandalizi mapema kabla giza halijazama. Wote tunakumbuka uchafuzi uliofanyika katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ambapo vyama vya upinzani vilipata pigo moja...
  16. Bull Bucka

    Pre GE2025 Maoni ya Jumla ya Wadau Kwenye Miswada ya Sheria za Uchaguzi na Muswada wa Vyama vya Siasa - Sehemu 1

    JamiiForums, Jukwaa la Katiba (JUKATA), Tanganyika Law Society (TLS), Twaweza East Africa, Centre for Strategic Litigation (CSL) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa pamoja tunawasilisha maoni kwenye miswada minne: Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani; Muswada...
  17. Pascal Mayalla

    Pre GE2025 Maoni yangu kwenye Mkutano wa Vyama vya Siasa kuhusu Muswada wa Sheria Mpya ya Uchaguzi. Muswada sio batilifu, ni Muswada batili

    Wanabodi, Sina uhakika sana humu JF, lakini kati ya JF members wanaozungumzia sana, Katiba, Sheria na Haki, mimi ni mmoja wao. Nimeandika sana kuhusu katiba, sheria na haki toka enzi za JPM. Rais Samia alipoingia, nimeandika sana kuhusu katiba, sheria na haki. Rais Samia alipounda Kikosi...
  18. Venus Star

    Mrejesho wa Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika 3 - 4 January 2024

    Mkutano huu ulihudhuriwa na watu wengi maarufu nchini. Leo nitaweka mrejesho wa kile kilichozungumzwa, watu waliohudhuria na impact ya mkutano huo katika demokrasia ya hapa nchini. Tutaanza kwa kuongelea 4R jinsi zilivyoongelewa na wachangiaji mbalimbali katika mkutano huo. Bila kupotenza...
  19. Sildenafil Citrate

    Pre GE2025 Pascal Mayalla: Vyama vya siasa visipewe ruzuku, viongozi wake wajitolee

    Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema; “Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku...
  20. Venus Star

    Mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na wadau wa Demokrasia tarehe 04 Januari 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa. Lengo la maagizo hayo lilikuwa kutoa fursa kwa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa...
Back
Top Bottom