Vimekwenda au kupotelea wapi? Yale majigambo na vishindo vya mikutano na maandamano hatuvioni tena? nauliza tu vipi vipooo?
Hata vinara wao hatuwasikii kwenye mahojiano hakuna muendelezo wa mbinu na mikakati ,imekuwa kama hawapo.
Hii ni 2024 tunahesabu miezi tu, au wanasubiri kesho uchaguzi...