Wachezaji wa Azam wanacheza mechi mbili TU kwenye ligi za Yanga na Simba TU basi. Mzee Bakhersa afanye nini ili Azam ifanye vizuri? Fei alikuwa akifanya vizuri sana akiwa Yanga ingawa alikuwa akilishwa ugali na sukari lakini Sasa haisaidii Azam ingawa analishwa biliani na Mzee Bakhersa...